Hakuna uchaguzi ni maigizo tupu
Hakuna lolote!Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu
Na tunavyowajua wapemba tusubiri tuone atakavyoamua maalimu seif
Maalim njia nyeupe ikulu Zanzibar.
Hatutaki ukhanith safari hii
Elimu ya kata huwezi kuona ukubwa wa tatizoKwani kuna sheria yoyote inamkataza kuwa mshauri wa Mgombea Dr. Mwinyi