Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

Dogo ndio ameshafunguliwa Dunia hvyo, na uzuri Dua la kuku huwa halimpati mwewe.

Wengi tunakasirika kwasababu hatujapata connection, ila humu wengi tunapiga biashara na Serikali/Taasisi binafsi kwa mfumo wa ganji, kujuana na kupeana madili hata nje ya mifumo rasmi. (Ila tunajiona tupo sawa hatuna tatizo).

Ujinga wetu watanzania ndio umeleta haya. Na mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.

Haya tunaona ni matokeo ya Ujinga wetu. Tukubali au tujirekebishe.
 
Back
Top Bottom