Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hii haimuathiri dogo kimakuzi?
well done chipkizi kiongozi wa baadae nchini 🐒Wakuu,
Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake?
Wanatuonaje watanzania?
View attachment 3607215
View attachment 3607216
eleza ujanja wa wafuata mkumbo bila wivu au mihemko gentleman na itapendeza zaidi 🐒ccm wamejawa na ujinga mwingi sana
Yes,Dah, mkuu unaona ni sawa hivi?

Tayari Umma unamfahamu ...Eti wanatuonaje watanzania??!!
Dogo anachimba mfereji wa maji we unauliza maswali wanatuonaje.
Utakufa kwa kiu
Wanatuona Kama Vinyago Walivyovichonga WenyeweEti wanatuonaje watanzania??!!
Dogo anachimba mfereji wa maji we unauliza maswali wanatuonaje.
Utakufa kwa kiu