Wakuu,
Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake?
Wanatuonaje watanzania?
View attachment 3607215
View attachment 3607216
Aisee miCCM mijinga kweliWakuu,
Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake?
Wanatuonaje watanzania?
View attachment 3607215
View attachment 3607216
Mbunge na waziri mtarajiwa wa hao wanaokenua meno hapo.Toto jinga kama baba yake.
Mfereji gani? Au marinda?Eti wanatuonaje watanzania??!!
Dogo anachimba mfereji wa maji we unauliza maswali wanatuonaje.
Utakufa kwa kiu
Fisadi lijalo hilo.Mbunge na waziri mtarajiwa wa hao wanaokenua meno hapo.
Haijarish ni aina gan utakufa kwa kiu
Wamekodiwa hao wakamshangilie ndio kazi za tlatlaa na mwashambwaHao wenyewe wanaohutubiwa naye ndio hamnazo, na wanakenua meno kabisa
Sidhani kama waziri mkuu wa enzi za JKN, BWM au JPM angediriki kufanya ujinga kama huu. Wao wenyewe deliberately waliwaweka watoto wao mbali na active politics!Wakuu,
Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake?
Wanatuonaje watanzania?
View attachment 3607215
View attachment 3607216