Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

Dah, mkuu unaona ni sawa hivi?
Yes,
kwani ubaya uko wapi ikiwa unamtakia mema mwanao na kumtafutia fursa kwa nadharia na vitendo?

au wewe unaamini mtoto wa mamba ni kenge?

ingekuaje ikiwa rais wa korea kaskazini angekua hapewi fursa za uongozi na babake?
au Rais Donald Trump anavyompa fursa mwanae wa kiume ana muharibu?

au Elon Mask kuambatana na mwanae katika biashara na siasa ni anasa?

kwani wewe unavyomuuliza mwanao angependa awe nani, anakukosea sana akikujibu anataka kua daktari?
 
Eti wanatuonaje watanzania??!!

Dogo anachimba mfereji wa maji we unauliza maswali wanatuonaje.

Utakufa kwa kiu
Wanatuona Kama Vinyago Walivyovichonga Wenyewe
Dharau Gani Hii Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…