Mzee mwenyewe siasa zilimshindaMzee wao alipata hasara sana, maana mitoto imebakia kukata miuno kila weekends kwenye live band na kutajwa.... wapi nani nani Malechela
Ombwe la fikra,shida iko tena sana.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Mtoto wa mzee JumanneMalecela familia iliyofeli kisiasa
Wanasema Ana asili ya watu wa Kongo huko😂😂Mzee mwenyewe ni joka la kibisa tu.
Hana lolote yule mzee.
Ameutendea haki ugogo wake sana
Mkongo zoba kiasi kile?Wanasema Ana asili ya watu wa Kongo huko😂😂
Hili ikiwambia cdm wanakurukia kma ambwa mwitu ukiwambia lissu kakoza kukubalika tena hawaamini eti wanataka kumleta lema abadili upepo huku wananchi wan njaa Kali anakwenda kuwasikilizaAngeachana nao tu, wananchi wenyewe hawana mpango na mikutano yao.
Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Ajibu hoja za Lisu na wapinzani aache mkwara bubu na ku bwabwaju tu na mdomo wake ulioungua na gongo mwendazake lazima atasemwa tu hakuna namna atatumika kamarejea ya mambo mengi aliyoyavurundaNisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Mzee Malechela ana bahati mbaya moja kubwa....kuzaa watoto wa kiume wasio na hekima/akili.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
unaposema wananchi wananjaa kali unataka chadema iwagawie chakula mlango kwa mlango mbona kama huelewi nchi inatawaliwa na ccmHili ikiwambia cdm wanakurukia kma ambwa mwitu ukiwambia lissu kakoza kukubalika tena hawaamini eti wanataka kumleta lema abadili upepo huku wananchi wan njaa Kali anakwenda kuwasikiliza
ampigie maza ampe zile nafazi zilizokataliwa na ma-genius wa cwtLabda kajiona yupo juu ya sheria...au ndio njia ya kujipendekeza kwa wakubwa zake huko chamani.
Huyu jamaa bado mjinga... Anashindwa soma alama za nyakati.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.