Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Angeachana nao tu, wananchi wenyewe hawana mpango na mikutano yao.
Hili ikiwambia cdm wanakurukia kma ambwa mwitu ukiwambia lissu kakoza kukubalika tena hawaamini eti wanataka kumleta lema abadili upepo huku wananchi wan njaa Kali anakwenda kuwasikiliza
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.

Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P
 
Hili ikiwambia cdm wanakurukia kma ambwa mwitu ukiwambia lissu kakoza kukubalika tena hawaamini eti wanataka kumleta lema abadili upepo huku wananchi wan njaa Kali anakwenda kuwasikiliza
unaposema wananchi wananjaa kali unataka chadema iwagawie chakula mlango kwa mlango mbona kama huelewi nchi inatawaliwa na ccm
 
Back
Top Bottom