Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Think tank waliokuwemo humo walishaamua kukaa pembeni kutokana na kutothaminiwa!Ccm imefilisika watoa hoja. Huyu anaweza kujibu hoja hata moja ya Lissu?
His gals are so smart, Le mbebez tu ndio shida, huyo mzee hahusiki chochote mwacheniMalichela alikuwa na watoto wawili Mwele na Ipyana wengine Mabao yalipotea
Kwanini watoto wake wasiwe judged peke yao maana ni watu wazima,Mzee yeye ka play part yakeMzee wao alipata hasara sana, maana mitoto imebakia kukata miuno kila weekends kwenye live band na kutajwa.... wapi nani nani Malechela
Mzee wao aliharibu alipobadilisha jina na kusilimu uzeeni - Mwalimu akammaliza hapo hapo teh teh tehMalecela familia iliyofeli kisiasa
Tatizo halikuwa kubadili jina bali motives behind ya kufanya hivyo.Mzee wao aliharibu alipobadilisha jina na kusilimu uzeeni - Mwalimu akammaliza hapo hapo teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wagogo wana shida kwenye vichwa vyao, huyu kijana benpol anaimba vizuri ila ishu ya ndoa yake ni km lizezeta flani hivi, mwingine kimbunga jobo[emoji23]miaka niliyoisho Dom na wingi wa vyuo lakini bado ni vilaza ajabu yani au ukame unawaponza?
Akili zao ni km zimesizi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ZipiHuyu jamaa bado mjinga... Anashindwa soma alama za nyakati.
Kwanza akili wanazo?.jamii ya ndugai sijui nani aliwalogaAkili zao ni km zimesizi hivi
Mzee mwenyewe hewa tu labda usiwe mfuatiliaji wa siasaHis gals are so smart, Le mbebez tu ndio shida, huyo mzee hahusiki chochote mwacheni
Haha so mzee alitoa hewa tu kwa wengine?Malichela alikuwa na watoto wawili Mwele na Ipyana wengine Mabao yalipotea
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Sikujua kuwa na nae ni hewa in politics 🙃Mzee mwenuewe hewa tu labda usiwe mfuatiliaji wa siasa
Kisa cha Nyerere kumweka pembeni ni kutokana kichwa kujaa mafisi ya kutembelea usiku.Sikujua kuwa na nae ni hewa in politics 🙃
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Wako pembeni kama watazamaji tu !Kwa nini CCM inaruhusu hawa ma mbumbumbu kubwabwaja? Ni kukidharaulisha Chama - CCM imekosa wajibu hoja kweli jamani.
Huko chadema unaweza mfabanisha na nani?Anavyoongea utafikiri mtu mwenye akili