Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Anavyoongea utafikiri mtu mwenye akili
 
Mzee wao aliharibu alipobadilisha jina na kusilimu uzeeni - Mwalimu akammaliza hapo hapo teh teh teh
Tatizo halikuwa kubadili jina bali motives behind ya kufanya hivyo.
Mzee aliuza utu wake
 
Wagogo wana shida kwenye vichwa vyao, huyu kijana benpol anaimba vizuri ila ishu ya ndoa yake ni km lizezeta flani hivi, mwingine kimbunga jobo[emoji23]miaka niliyoisho Dom na wingi wa vyuo lakini bado ni vilaza ajabu yani au ukame unawaponza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom