Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
You made my day..nimecheka balaaMzee wao alipata hasara sana, maana mitoto imebakia kukata miuno kila weekends kwenye live band na kutajwa.... wapi nani nani Malechela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You made my day..nimecheka balaaMzee wao alipata hasara sana, maana mitoto imebakia kukata miuno kila weekends kwenye live band na kutajwa.... wapi nani nani Malechela
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Ukweli unauma, ila sasa hapa ni sawa na kumfuata bata akiongelea kwenye matope nawe unajaa matope. Kundi la tundulissu halina dogo wala simile, watamtukana weeee.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Ukweli unauma, ila sasa hapa ni sawa na kumfuata bata akiongelea kwenye matope nawe unajaa matope. Kundi la tundulissu halina dogo wala simile, watamtukana weeee.
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Lissu anatukanwa na kila mwenye akiliHana hata aibu. Eti tutatuma vijana. Akawatume sasa.
Sisi huku tunasemaga mtoto hakui kwa baba na mama, mtoto akifanya makosa ya kipumbavu kama huyo au yule wa simbachawene tunamlaumu mzaziSio kosa kumuita mtu kwa majina yake yote hadi jina la baba yake lakini sio kumtendea haki baba mtu kumtaja baba kwa makosa ya mtoto wake!.
P
Wanamfahamu ndio maana ukumbi umekaa kimyaaaaAnavyoongea utafikiri mtu mwenye akili
Wakati wakuratibu maoni ya mfumo wa vyama vingi huyo unayemsifia akiwa kigoma alesema wanaotaka vyama vingi ni wajinga na wapumbavu, baada ya tume kukamilisha kazi yake ikapendekeza mfumo wa vyama vingi uwepo.Tafakari sasa.....hakubalisha dini Mzee wa watu.
..Mwalimu alimtoa kafara Malecela kutokana na hoja ya Tanganyika.
..Kwa taarifa yenu Mzee Malecela alituletea serikali ya Tanganyika Mwalimu akaipora.
..Wakati Malecela akiwa Waziri Mkuu Bunge lilipitisha azimio la kuunda serikali ya Tanganyika.
..Pia kipindi cha Uwaziri Mkuu wa Malecela Bunge lilitunga sheria ya kurudisha mfumo wa vyama vingi.
..Mwalimu alikuwa anacheza rafu ili apitishe mtu wake kugombea Uraisi.
Wamechanhanyikiwa. Wanadhani Dodoma ni Mali ya familia yao.Hivi Watoto wa Malecela wana shida gani kichwani ?
Inategemea wametoka kwa mama ganiHis gals are so smart, Le mbebez tu ndio shida, huyo mzee hahusiki chochote mwacheni
Huyu Mzee watoto wake was kiume wanapenda kutukana ovyo
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.