Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.


Huyu naye kachemka - mbona hakumwambia makamba wakati wa mkutano mkuu!! tena maakamba alitia live mbele mama janeth! Siasa buana!! mh!!
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.

Ukweli unauma, ila sasa hapa ni sawa na kumfuata bata akiongelea kwenye matope nawe unajaa matope. Kundi la tundulissu halina dogo wala simile, watamtukana weeee.
 
Ukweli unauma, ila sasa hapa ni sawa na kumfuata bata akiongelea kwenye matope nawe unajaa matope. Kundi la tundulissu halina dogo wala simile, watamtukana weeee.

..kuna mazoea mabaya ya Ccm kutukana wapinzani.

..lakini alichokifanya huyu bwana ni kuhamasisha fujo wakati Raisi Samia amesisitiza siasa za hoja.
 
Sio kosa kumuita mtu kwa majina yake yote hadi jina la baba yake lakini sio kumtendea haki baba mtu kumtaja baba kwa makosa ya mtoto wake!.
P
Sisi huku tunasemaga mtoto hakui kwa baba na mama, mtoto akifanya makosa ya kipumbavu kama huyo au yule wa simbachawene tunamlaumu mzazi
 
..hakubalisha dini Mzee wa watu.

..Mwalimu alimtoa kafara Malecela kutokana na hoja ya Tanganyika.

..Kwa taarifa yenu Mzee Malecela alituletea serikali ya Tanganyika Mwalimu akaipora.

..Wakati Malecela akiwa Waziri Mkuu Bunge lilipitisha azimio la kuunda serikali ya Tanganyika.

..Pia kipindi cha Uwaziri Mkuu wa Malecela Bunge lilitunga sheria ya kurudisha mfumo wa vyama vingi.

..Mwalimu alikuwa anacheza rafu ili apitishe mtu wake kugombea Uraisi.
Wakati wakuratibu maoni ya mfumo wa vyama vingi huyo unayemsifia akiwa kigoma alesema wanaotaka vyama vingi ni wajinga na wapumbavu, baada ya tume kukamilisha kazi yake ikapendekeza mfumo wa vyama vingi uwepo.Tafakari sasa...
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.


Bwege tu huyo. Amesahau jinsi Marehemu Dada yake alivyodhalilishwa ile awamu. Tatizo wamekulia Sea View hawajui maisha nje ya siasa.

Hao ni aibu hata makofi hapati. Akspambane na Kibajaji ndoyo atajua matusi maana yake ni nini.
 
Wengi walidhani mhusika ni lemutuz😂😂😂uzi ungeenda fasta huu
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.


Very Interesting!

Huyu ni "Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi". Unamkumbuka Mwenyekiti wa Jumuia hiyo hiyo, huko siku za nyuma? Bulemo, au sijui Bulembo?

Inaonekana kama kuna 'script' maalum huko ndani ya chama inayofuatwa na hawa viongozi ili wainukie zaidi ndani ya chama.

Sasa, baada ya kuiangalia hii video, niliyoyaona mimi, na siyo yale niliyoyasikia, ni jinsi wasikilizaji wa huyu msemaji walivyoitikia yaliyokuwa yakisemwa.
Hawa ni wanaCCM wenyewe, na msemaji, kutokana na alivyokuwa akitumia sauti yake kuamsha mori wa wasikilizaji, lakini matokeo yalikuwa ni tofauti kabisa na mategemeo yake.

Hapa nadhani kuna matumaini. CHADEMA inawabidi wakazane zaidi, matumaini yapo.
 
Ni wapi amemtukana Lissu!

Kwani Lissu sio wa Amsterdam?

Ni nani anamteteaissu Duniani kama sio Amsterdam??
 
Back
Top Bottom