- Thread starter
- #101
Very Interesting!
Huyu ni "Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi". Unamkumbuka Mwenyekiti wa Jumuia hiyo hiyo, huko siku za nyuma? Bulemo, au sijui Bulembo?
Inaonekana kama kuna 'script' maalum huko ndani ya chama inayofuatwa na hawa viongozi ili wainukie zaidi ndani ya chama.
Sasa, baada ya kuiangalia hii video, niliyoyaona mimi, na siyo yale niliyoyasikia, ni jinsi wasikilizaji wa huyu msemaji walivyoitikia yaliyokuwa yakisemwa.
Hawa ni wanaCCM wenyewe, na msemaji, kutokana na alivyokuwa akitumia sauti yake kuamsha mori wa wasikilizaji, lakini matokeo yalikuwa ni tofauti kabisa na mategemeo yake.
Hapa nadhani kuna matumaini. CHADEMA inawabidi wakazane zaidi, matumaini yapo.
..hata mimi nimekiona hicho unachokisema.
..Ccm sasa hivi imejaa watufuta fursa na maslahi binafsi.
..Hata muonekano na haiba zao ni watu wa kutafuta ulaji na sio kutetea haki.
..Kama kimejichokea kabisa.