makafara ya uchaguzi mwakani hayo. mashetani kabisa hawa. Mungu ataumbua watu wakubwa tu siku si nyingi.Habari za usiku wakuu!
Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu, tukio lilitaka kutokea maeneo ya kimara matosa, mtoto aliitwa na watu wasiojulikana walikuwa kwenye noa nyeusi tinted mtoto aliambiwa akachukue pipi lakini mtoto alisita akakimbia, ivyo ndio ikawa pona pona yake.
Ivyo naomba niwaombe wazazi na walezi tuwe makini sana na watoto wetu.
Niwatakie usiku mwema.
shida ukimpa lift watu wengine wanawezadhani ndio unamteka, ukapopolewa na mawe na kuchomewa gari yako kabisa. unampandishaje kwenye gari mtoto usiyemjua?Daah Mungu anasaidia TU maana leo nimekutana na mtoto wa darasa la kwanza kanapita porini peke yake umbali wa kilomita tano hv
Nilikapa lift, niliwaza mbali sana kwa jinsi dunia watu wamekuwa wanyama....
Wazazi tulinde watoto wetu, hasa pia mida ya kutuma dukani usiku ni hatari, bora uende mwenyewe tu
Duh mungu mwema sana sipati picha angekutana na majambakuzi aya ingekuwa stori nyingineDaah Mungu anasaidia TU maana leo nimekutana na mtoto wa darasa la kwanza kanapita porini peke yake umbali wa kilomita tano hv
Nilikapa lift, niliwaza mbali sana kwa jinsi dunia watu wamekuwa wanyama....
Wazazi tulinde watoto wetu, hasa pia mida ya kutuma dukani usiku ni hatari, bora uende mwenyewe tu
Inasikitisha sanaDaah Mungu anasaidia TU maana leo nimekutana na mtoto wa darasa la kwanza kanapita porini peke yake umbali wa kilomita tano hv
Nilikapa lift, niliwaza mbali sana kwa jinsi dunia watu wamekuwa wanyama....
Wazazi tulinde watoto wetu, hasa pia mida ya kutuma dukani usiku ni hatari, bora uende mwenyewe tu
Ni hatari kweli, niliumia nafsi kuona yuko mwenyewe eneo hilo, ni mbuga ambapo smtms kuna tembo au nyati ambao ni hatari mnooshida ukimpa lift watu wengine wanawezadhani ndio unamteka, ukapopolewa na mawe na kuchomewa gari yako kabisa. unampandishaje kwenye gari mtoto usiyemjua?