Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ndio ngono za utotoni zinaanza hapoHii mambo ya mtoto mtaa mzima kila mtu uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle ni kumuweka mtoto mazingira hatari kwa usalama wake
Yaani mtoto anajulikana mtaa mzima
Akiharibika unalaani society kumbe mzazi ndio aliemtengenezea njia mbaya
Mama au baba hajui mtoto yuko wapi masaa 6 je ni sawa?
Watoto lazima uwe unajua wako wapi mda wowote na sio kwenda kwenye majumba ya watu au kucheza na watoto usiowajua
Kulea sio kazi bali wengi wanashindwa kulea