MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Mpaka 2025 iishe tutashuhudia mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona shida ilivyo!!!shida ukimpa lift watu wengine wanawezadhani ndio unamteka, ukapopolewa na mawe na kuchomewa gari yako kabisa. unampandishaje kwenye gari mtoto usiyemjua?
Ni kweli kabisa tena wengi tuHapa tunajadili utekaji sio malezi, hayo malezi hayahusiani na utekaji.!!
Kutekwa hata mtu mzima anatekwa.
Alisema mzee warioba media zote zimekalia uchawa tuPolisi noana kimya, na vitengo vingine vya usalama hola, media nazo kimya
Duh inamana uyo muhuni alikuwa anapima oil kwa katoto kadogo pia isitoshe nia yake alitaka kukabaka kama sikosei aisee sio powa ukatili wa kingono upo sana kwa watotoMiaka ya nyuma kidogo nilikuwa njiro Arusha, ktk ki grocery njee kuliwa na vitoto vya kike vinacheza pembeni yupo mlevi hawa wa banana
mara kutoka nje naona kapakata katoto kadogo umri wa miaka 4-5 mkono ndani ya chupi ya mtoto daaaah...
Nilichukua hatua..
Hili tukio silisahaugi
Kabisa mkuu kuna jambo la kujifunza hapa, muda mwingine tunasema watoto wa mageti kali wanaringa sana kumbe wapo sahihi, mitoto ya uswazi yani ni kujichanganya tu mwisho wa siku ustawi wa mtoto kimaadili ni ziro kabisaMkuu hamuoni watu wasio waswahili watoto wao hawaonekani wakicheza hovyo nje?
Tunasema ni wabaguzi kumbe wao ndio wako sahihi kila wakati
Wangewaacha mngeona damu changanyikeni kila mahali
Tuwafunze maadili watoto la sivyo mtaendelea kuona mtoto wa miaka 12 yuko na jamaa gesti