Mtoto wa ndugu yangu kakoswa koswa kutekwa na watekaji wa watoto

Mungu atusaidie, hawa watu wakikamatwa watolewe mfano. Hakuna kuita polisi ni kumalizana nao tu polisi waje kuchukua miili.
Kabisa mana ni zaidi ya makatili
 
Huku mtu unayemuamini ndio anayedhuru, si umeona mtoto aliyeuwawa ni mpango wa baba yake na watu wa karibu wa kiroho.!!
 
Aisee ilo ni fundisho kubwa sana mambo ya mtoto kuchekacheka na mtu ambae hamfahamu ni mbaya sana mwisho wa siku mtoto wanamlaghai na kutekwa mazima nimepata funzo hapa wacha niwafundishe watoto wangu mazoea na watu hapana hii itanisaidia sana mana hali ni tete sana
 
Polisi noana kimya, na vitengo vingine vya usalama hola, media nazo kimya
Inamana serikali ipo kimya kabisa hali ya kuwa matukio yanaonekana wazi wazi kabisa
 
Reactions: Lax
Ni hatari kweli, niliumia nafsi kuona yuko mwenyewe eneo hilo, ni mbuga ambapo smtms kuna tembo au nyati ambao ni hatari mnoo
Hakuna makazi ya watu, wapita njia ni nadra Sana!!
Wazazi wengine hawathamini usalama wa watt wao
Sio kila mtu anapaswa kuwa mzazi, ni vile tu raia wabishi wanalazimisha, na pia kauli za Kiswahili kila mtoto ana sahani yake.
 
Hii mambo ya mtoto mtaa mzima kila mtu uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle ni kumuweka mtoto mazingira hatari kwa usalama wake
 
Hii mambo ya mtoto mtaa mzima kila mtu uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle ni kumuweka mtoto mazingira hatari kwa usalama wake
Kwa sasa watoto wetu tuwaweke kwenye mitazamo tofauti kabisa mana upepo umebadilika sana
 
IGP yupo kutetea watekaji
 
Kipindi hiki ni cha hatari kwa watoto kama kilivyokuwa kipindi cha hatari kwa wayahudi wakati wa utawala wa fascist Adolf Hitler au mpinzani wakati wa Diktator jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…