Mtoto wa ndugu yangu kakoswa koswa kutekwa na watekaji wa watoto

Hii mambo ya mtoto mtaa mzima kila mtu uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle uncle ni kumuweka mtoto mazingira hatari kwa usalama wake
Ndio ngono za utotoni zinaanza hapo
Yaani mtoto anajulikana mtaa mzima
Akiharibika unalaani society kumbe mzazi ndio aliemtengenezea njia mbaya
Mama au baba hajui mtoto yuko wapi masaa 6 je ni sawa?
Watoto lazima uwe unajua wako wapi mda wowote na sio kwenda kwenye majumba ya watu au kucheza na watoto usiowajua

Kulea sio kazi bali wengi wanashindwa kulea
 
Mkuu sio kutekwa tu hata matusi wanafundishana nje
Mazoea na watu kataza kabisa mana ngono pia huwa zinaanzia huko wanakoenda

Kuwa rafiki na watoto waambie madhara ya kuwa nje na hatari zake
 
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa njiro Arusha, ktk ki grocery njee kuliwa na vitoto vya kike vinacheza pembeni yupo mlevi hawa wa banana

mara kutoka nje naona kapakata katoto kadogo umri wa miaka 4-5 mkono ndani ya chupi ya mtoto daaaah...
Nilichukua hatua..
Hili tukio silisahaugi
 
Mhuuu
 
Hili ni muhimu sana. Unakuta watoto wanaambiwa eti wawe watii kwa wakubwa na kusalimia kila mtu. Maweee!
 
Huku Mikoan ni kawaida kuona mtoto anatembea km 15 kufuata shule.
 
Cha kushangaza huwezi kusikia matamko ya vyombo vya Ulinzi na Usalama vikifanya uchunguzi na kutoa tahadhari juu ya matukio haya.
Kwakweli mimi binafsi inanifikirisha sana matukio yaliyotokea ni mazito mno lakini vyombo vipo kmyaaa
 
Kwann mtu asizae watoto ambao ataweza kuwahudumia na kuwaweka mazingira salama!!
Mtu anazaa km sungura, serekali inabidi hiamishie nguvu ktk elimu ya uzazi wa mpango
Nimecheka utafikiri mazuri, sema mkuu unaweza ukawa na mtoto mmoja alafu ukashangaa janga limempata mtoto wako ni vile tu mazingira kwa sasa ni hatar sana
 
Mkuu sio kutekwa tu hata matusi wanafundishana nje
Mazoea na watu kataza kabisa mana ngono pia huwa zinaanzia huko wanakoenda

Kuwa rafiki na watoto waambie madhara ya kuwa nje na hatari zake
Kiukweli dunia imekwisha jamani mambo yamebadilika sana juzi juzi vitoto vya majirani cha kike kidogo na cha kiume kikubwa kidogo vimekutwa vinakulana aisee sio powa mambo ovyo kabisa suhala la kuchunga watoto ni muhimu sana
 
Mkuu hamuoni watu wasio waswahili watoto wao hawaonekani wakicheza hovyo nje?
Tunasema ni wabaguzi kumbe wao ndio wako sahihi kila wakati
Wangewaacha mngeona damu changanyikeni kila mahali

Tuwafunze maadili watoto la sivyo mtaendelea kuona mtoto wa miaka 12 yuko na jamaa gesti

Huku mtu unayemuamini ndio anayedhuru, si umeona mtoto aliyeuwawa ni mpango wa baba yake na watu wa karibu wa kiroho.!!
 
Hili ni muhimu sana. Unakuta watoto wanaambiwa eti wawe watii kwa wakubwa na kusalimia kila mtu. Maweee!
Tena hiyo tabia ndio siipendi na kina mama ndio wanaona ni heshima halafu jitu kubwa linampaka mtoto wa kike hao ni mbwa kabisa
Tena unamwambia mtoto wewe shuka hapo nenda ndani

Najua haya yapo ila mkiwaacha hivyo wanafika pabaya

Walindeni viumbe hao maana hawajui kitu wanafuata maneno yenu
Kina mama wengi wanawauza watoto kisa wanapewa hela
 
Hapo unachanganya mazingira ya uswahili na ushuani, vipato havifanani mkuu.!!
Kwahiyo unataka wote tuwe matajiri tufungie watoto kwenye mageti??
Huku uswahilini ndio matukio ya utekaji mengi, na yanasababishwa na hali ngumu ya kimaisha.!!
 
Unaweza kuwa karibu na wanao na kuwafundisha mazuri na kuwakataza mabaya
Watoto bila kuwaonya hawajui na kipigo hakisaidii
Bora kuwaambia
Sikatai watoto kucheza pamoja ila wawe na mda na pia wanaonba ruhusa na wewe unawa monitor
Kuhusu ushuani na changanyikeni sawa
Lakini hata masikini awe na mda wa kuwa nje na watoto wake sio lazima kuwapeleka mahoteli makubwa au beach lakini onyesha upendo kwa kutembea nao hata mitaa miwili mitatu

Be close to them wajue unawajali hata kama huna gari mama
Nayajua maisha yote pande mbili ila wazazi tuwe waangalifu hakuna cha anko wala anti
 
Hapa tunajadili utekaji sio malezi, hayo malezi hayahusiani na utekaji.!!
Kutekwa hata mtu mzima anatekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…