Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

Hapa mtu sio wewe..., Yaani unachagua hata cha kuletewa ?

Nyie ndio mnadhani Ughaibuni ni Mbinguni kumbe ni kama huku tu, huenda angebaki huku angekuwa anakuomba pesa ya kwenda kunyoa..., kwahio amekupunguzia shida.... Ukiwaza sana haya maisha ni rat race..., hata wewe huenda unachokikimbilia / kifuata ni illusion
 
Hii story imetengenezwa ili watu waanze kujadili waliopo mamtoni na wala vumbi aka waturutumbi. Kuna mturutumbi mmoja kashauri kuwekeza bongo, hivi mtu yupo mamtoni awekeze bongo kweli?mnatuona mandezi sana eeh?? huo si upumbavu wa hali juu na anatafuta kuliwa tu. Watu mamtoni siku hizi wameshtuka wanawekeza bank ndio mpango mzima. Ujenge bongo ili waturutumbi waje wakudhulumu kua wewe sio raia...nyooo watu wanawekeza savings bank now, pesa inatulia, holiday Brazil, Cancun au Cuba. Jiji kubwaaaa Ka shopping mall kamoja tu Mlimani City na kila mtu anapeleka kinyeo chake pale, Mambo ya joto kali na hamna umeme wameshayachoka.Jengeni nchi kwanza tutakuja huko Inshaallah.
 
Wewe ni good sample ya diaspora wajinga wasiojitambuwa.

Hivi ukiinvest kwenye real estate na pesa yako unaingiziwa kwenye account shida iko wapi? Kama huna hata rafiki hata mmoja muaminifu wa kukaguwa estate zako na supervising basi wewe ni tatizo.

Kiwanja ni sehemu ya kwenda kusaka pesa ila maisha yapo Bongo.

Hebu check kitoto hiki Marekani una jeuri ya kukagusa haka? Lakini Bongo unawakula tu upendavyo.
 

Attachments

  • JamiiForums-341171402.jpg
    51.3 KB · Views: 7
Tumekwambia kuwekeza.embu nenda kajifunze kwa jamaa.anaitwa chriss wa UK.ukija umalize unachoongea
 
Yeye akikaa Marekani kivyake wewe inakupunguzia nini?
 
Pengine wanapambana waweze kununua huko waliko, na hawataki kuja kuishi bongo kwanini iwalazimu kujenga?

Ninyi jengeni mabanda yenu wakija kuwasalimia watafikia humo humo au hotelini.

Nikikuuliza mbona wewe hujaenda kujenga marekani utajibuje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…