Kipi cha ajabu mtz kwenda kutafuta maisha USA,unafikiri ni wtz tu ndio wanatamani kufika USA?Wazungu wanawaza kuja TZ kutalii na kutafta opportunities sie twawaza enda tafta maisha kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi cha ajabu mtz kwenda kutafuta maisha USA,unafikiri ni wtz tu ndio wanatamani kufika USA?Wazungu wanawaza kuja TZ kutalii na kutafta opportunities sie twawaza enda tafta maisha kule
Vumbi na maji ya kisima wanayokunywa yaliyochanganyika na kinyesi,lazima uwe na chukiThread za wala vumbi kujifariji. Wakisikia mwenzao Ughaibuni anataabika wanasikia faraja.
Duu hadi wewe umeshakuwa Dr mkuu. Hongera sana kwa kweliUSA Maisha Ni mazuri Mimi nimemkosoa mtoa Mada naona hajielewi
Asante Mkuu ubarikiweDuu hadi wewe umeshakuwa Dr mkuu. Hongera sana kwa kweli
Hivi hili kubwa jinga lipo hapa mjini?
Hapa mtu sio wewe..., Yaani unachagua hata cha kuletewa ?Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri.
Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo binadamu hata hapa viongozi nao wapo hivo hivo.
Mimi nawapongeza sana watu wa visiwani kwa umoja wenu ndio mnafanya nchi yenu kufika mbali ila huku bara ni husda ukishakuwa nje. Naletewa simu ya nokia tochi ananiuliza kuwa internet imeshafika ya 3g. kweli mtu huyu.
Ndio umekimbilia huku..Umewahi kuishi nchi gani?
Jina plus majibu yako kweli kaka yake shetani nimecheka balaa...Mpaka tukuonyeshe mayai viza kuwa tushafika nchi unasimuliwa na dada zako wakitupokea JK
Wewe ni good sample ya diaspora wajinga wasiojitambuwa.Hii story imetengenezwa ili watu waanze kujadili waliopo mamtoni na wala vumbi aka waturutumbi. Kuna mturutumbi mmoja kashauri kuwekeza bongo, hivi mtu yupo mamtoni awekeze bongo kweli?mnatuona mandezi sana eeh?? huo si upumbavu wa hali juu na anatafuta kuliwa tu. Watu mamtoni siku hizi wameshtuka wanawekeza bank ndio mpango mzima. Ujenge bongo ili waturutumbi waje wakudhulumu kua wewe sio raia...nyooo watu wanawekeza savings bank now, pesa inatulia, holiday Brazil, Cancun au Cuba. Jiji kubwaaaa Ka shopping mall kamoja tu Mlimani City na kila mtu anapeleka kinyeo chake pale, Mambo ya joto kali na hamna umeme wameshayachoka.Jengeni nchi kwanza tutakuja huko Inshaallah.
Swali la msingi sana hilo.Ndio umekimbilia huku..
Just know that am blessed.Swali la msingi sana hilo.
Tumekwambia kuwekeza.embu nenda kajifunze kwa jamaa.anaitwa chriss wa UK.ukija umalize unachoongeaHii story imetengenezwa ili watu waanze kujadili waliopo mamtoni na wala vumbi aka waturutumbi. Kuna mturutumbi mmoja kashauri kuwekeza bongo, hivi mtu yupo mamtoni awekeze bongo kweli?mnatuona mandezi sana eeh?? huo si upumbavu wa hali juu na anatafuta kuliwa tu. Watu mamtoni siku hizi wameshtuka wanawekeza bank ndio mpango mzima. Ujenge bongo ili waturutumbi waje wakudhulumu kua wewe sio raia...nyooo watu wanawekeza savings bank now, pesa inatulia, holiday Brazil, Cancun au Cuba. Jiji kubwaaaa Ka shopping mall kamoja tu Mlimani City na kila mtu anapeleka kinyeo chake pale, Mambo ya joto kali na hamna umeme wameshayachoka.Jengeni nchi kwanza tutakuja huko Inshaallah.
Yeye akikaa Marekani kivyake wewe inakupunguzia nini?Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri.
Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo binadamu hata hapa viongozi nao wapo hivo hivo.
Mimi nawapongeza sana watu wa visiwani kwa umoja wenu ndio mnafanya nchi yenu kufika mbali ila huku bara ni husda ukishakuwa nje. Naletewa simu ya nokia tochi ananiuliza kuwa internet imeshafika ya 3g. kweli mtu huyu.
Pengine wanapambana waweze kununua huko waliko, na hawataki kuja kuishi bongo kwanini iwalazimu kujenga?Ndugu wakiwa nje wa Nini kuwashobokea vizuri wajiongeze wenyewe, mwezi wa sita Kuna ndugu zetu wanakuja likizo bongo , toka wawe nje hakuna lolote, wanakuja kufikia kwenye vibanda vyetu, baada wangewekeza wakija wanafikia pazuri, mipango kununua ngombe kufanya sherehe na sio kuwekeza au kuweka home kuwe kizuri.
Na wewe aliyekuacha Bongo maisha yako yapoje?Nina jamaa lika moja na mimi yupo Uingereza!,ameenda huko miaka takribañi 15 iliyopita!,maisha yake ni kitendawili kikubwa,huku wazazi wake wote na dada zake 2 wamekufa ameshindwa hata kurudi,.sound nyingi ohhh nimekosa viza....