Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

Kuna mtu alikuwa Michigan miaka nenda rudi, aliporudi Bongo alirudi na makoti tuu, akawa anayavaa kila Wakati na jua hili.. watu wakishasikia US basi wanajua kila mtu atakuwa na pesa.
Maisha ni kama kitabu kila mtu na historia yake, don't judge the book by his cover, Hujui kitu gani kimemkuta, hata Bongo wapo watu miaka nenda rudi wamejichokea tu.

Marekani usiombe ukutane na kitu kinaitwa child support utaisoma namba.
 
Sema kwa kiasi kikubwa wanajisahau na kuridhika.
 
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE.

siku mkielewa hili jambo hata hamta hangaika na hii ngozi nyeusi

HAPO UNAJINENEA WEWE MKEO, WANAO NA UKOO WAKO WOTE PSYCHOPATH [emoji35]
UTUKOME WATU WENGINE WEUSI HATUNA LAANA KABISA WALAHI!
WEWE NA UKOO WAKO MNALAANA YA MILELE [emoji35]
UTUKOME SISI WENGINE WE BOYA, MWENDAWAZIMU MKUBWA KOMA![emoji35]
IMG_0117.jpg
 
HAPO UNAJINENEA WEWE MKEO, WANAO NA UKOO WAKO WOTE PSYCHOPATH [emoji35]
UTUKOME WATU WENGINE WEUSI HATUNA LAANA KABISA WALAHI!
WEWE NA UKOO WAKO MNALAANA YA MILELE [emoji35]
UTUKOME SISI WENGINE WE BOYA, MWENDAWAZIMU MKUBWA KOMA![emoji35]View attachment 2517340
Laana tunayo unabisha nini.ulishwai kushindana na mataifa makubwa
 
Kwakuwa wewe ni Kaka yake shetani basi Mimi sina la kuongeza.

Ugumu wa maisha wa Marekani siyo sawa na Tanzania unajidanganya mwenyewe.

Watanzania wengi ambao bado hawajapata green card au hawana makaratasi huwa wanaogopa kutoka Marekani maana hautoruhusiwa tena kukanyaga Marekani na mtu Bongo hana mishe yoyote na maisha ya Marekani ni land of opportunity.

Hizo zingine ni beef zako tu au hasira za kutoswa viza na consular Sasa hasira zako unazihamishia Kwa wabeba mabox.

Naona limekosa uwezo wa kwenda popote na lime stuck kijijini walahi bwahaha [emoji81]
 
Ndo nyie mnadanganywa kila anayekwenda south anafanikiwa.
Nchi zilizoendelea ukituliza kichwa kufanikiwa inawezekana ila sio leo tuu uingie kesho ufanikiwe shida ya Watanzania wengi wanakua na haraka sana kama vile wapo kwenye mashindano wapo radhi kufanya deal lolote hata kama linahusu jela ili mradi wafanikiwe....
 
Back
Top Bottom