NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Population kubwa njaa kali sana ubaguzi wa 5G!India kuna nini?,hebu tiririka mkuu
Omba omba kibao india Maisha magumu mno KWA kujibu wa Rafiki YANGU MMOJA aitwaye Barkat kahn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Population kubwa njaa kali sana ubaguzi wa 5G!India kuna nini?,hebu tiririka mkuu
Kuna mtu alikuwa Michigan miaka nenda rudi, aliporudi Bongo alirudi na makoti tuu, akawa anayavaa kila Wakati na jua hili.. watu wakishasikia US basi wanajua kila mtu atakuwa na pesa.Sijui kama anaelewa USA kuna maeneo watu wanalala nje na madarajani
Hivi hili kubwa jinga lipo hapa mjini?AMerican Spirit Boma Ye ! Boma Liwanza! Mobimba! Kokobanga I'm humbled you know! Down town in manhahen" Super brand.
Maisha ni kama kitabu kila mtu na historia yake, don't judge the book by his cover, Hujui kitu gani kimemkuta, hata Bongo wapo watu miaka nenda rudi wamejichokea tu.Kuna mtu alikuwa Michigan miaka nenda rudi, aliporudi Bongo alirudi na makoti tuu, akawa anayavaa kila Wakati na jua hili.. watu wakishasikia US basi wanajua kila mtu atakuwa na pesa.
SemenyaaaaMkuu mbona hujasema kivip jamaa anajuta zaidi umelalamika hakutumii zawadi😂
🤣🤣🤣Uongo mtupu, angekuwa India angejuta ila sio Marekani
Sema kwa kiasi kikubwa wanajisahau na kuridhika.Maisha ni kama kitabu kila mtu na historia yake, don't judge the book by his cover, Hujui kitu gani kimemkuta, hata Bongo wapo watu miaka nenda rudi wamejichokea tu.
Marekani usiombe ukutane na kitu kinaitwa child support utaisoma namba.
Hutaki asemeInaonekana wewe mleta mada ndio mwenye majungu,roho mbaya na husda kwa mwenzako,
Hakuna la maana uliloandika hapa zaidi ya kulalamika kuletewa Simu ya Nokia.
Nye nye nye u knowAMerican Spirit Boma Ye ! Boma Liwanza! Mobimba! Kokobanga I'm humbled you know! Down town in manhahen" Super brand.
Thread za wala vumbi kujifariji. Wakisikia mwenzao Ughaibuni anataabika wanasikia faraja.Inaonekana wewe mleta mada ndio mwenye majungu,roho mbaya na husda kwa mwenzako,
Hakuna la maana uliloandika hapa zaidi ya kulalamika kuletewa Simu ya Nokia.
Umewahi kuishi nchi gani?Sema kwa kiasi kikubwa wanajisahau na kuridhika.
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE.
siku mkielewa hili jambo hata hamta hangaika na hii ngozi nyeusi
Ndo nyie mnadanganywa kila anayekwenda south anafanikiwa.Sio kweli kabisa walahi!
Laana tunayo unabisha nini.ulishwai kushindana na mataifa makubwaHAPO UNAJINENEA WEWE MKEO, WANAO NA UKOO WAKO WOTE PSYCHOPATH [emoji35]
UTUKOME WATU WENGINE WEUSI HATUNA LAANA KABISA WALAHI!
WEWE NA UKOO WAKO MNALAANA YA MILELE [emoji35]
UTUKOME SISI WENGINE WE BOYA, MWENDAWAZIMU MKUBWA KOMA![emoji35]View attachment 2517340
Mpwayungu village usikatae kila kitu...Uongo mtupu, angekuwa India angejuta ila sio Marekani
Kwakuwa wewe ni Kaka yake shetani basi Mimi sina la kuongeza.
Ugumu wa maisha wa Marekani siyo sawa na Tanzania unajidanganya mwenyewe.
Watanzania wengi ambao bado hawajapata green card au hawana makaratasi huwa wanaogopa kutoka Marekani maana hautoruhusiwa tena kukanyaga Marekani na mtu Bongo hana mishe yoyote na maisha ya Marekani ni land of opportunity.
Hizo zingine ni beef zako tu au hasira za kutoswa viza na consular Sasa hasira zako unazihamishia Kwa wabeba mabox.
Nchi zilizoendelea ukituliza kichwa kufanikiwa inawezekana ila sio leo tuu uingie kesho ufanikiwe shida ya Watanzania wengi wanakua na haraka sana kama vile wapo kwenye mashindano wapo radhi kufanya deal lolote hata kama linahusu jela ili mradi wafanikiwe....Ndo nyie mnadanganywa kila anayekwenda south anafanikiwa.
Mpaka tukuonyeshe mayai viza kuwa tushafika nchi unasimuliwa na dada zako wakitupokea JKNaona limekosa uwezo wa kwenda popote na lime stuck kijijini walahi bwahaha [emoji81]