Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

Shetani naye alikuwa anazungumza na Mungu and so were the angels.Kuzungumza na Mungu hakukupi unabii
 
Duuh
 
Ishmael ndio chanzo cha Waarabu na usilamu ?....hii nadharia mnaipata wapi ?

Uislamu umekuja baadae sana baada ya Ukristo kutangulia, Sasa hapo Ibrahim anahusika vipi?.
Ishmael hakuwa mtoto wa nje ya ndoa,bali mtoto wa mjakazi aliyetolewa na sara awe mke kwa Ibrahimu ili apatie uzao.

Uislam ulitokana na muddy baada ya kupigwa roba mapangoni na shetani alla.
 
Kituko cha mwaka,utasema yote lakini aliyebadilisha dunia hii na elimu ni mmisri na wagiriki tu...waarabu walikua wanakufa na kipindupindu arabia mana hata maji ya kuchambia walikua hawana..tofauti ya muarabu na mwafrika ni rangi tu.
 
Sijawahi ona logic ya wakristo kuwachafua manabii wote na mara ibrahim alizini na kija kazi mara nuhu alilala na wanae hivi mnakuwa na shida gani .
Sisi waislam Ibrahim alimuoa kijakazi baada ya mkewe Sara kukosa mto
Sio wa kristo wamejitungia ni maandiko ya tourati na zaburi ndio yanasema hivyo..kama ninyi vijukuu wa muddy mnaamini hivyo vitabu nadhani ungeenda kuvisoma ukapata maarifa zaidi.
 
Ishmael hakuwa mtoto wa nje ya ndoa,bali mtoto wa mjakazi aliyetolewa na sara awe mke kwa Ibrahimu ili apatie uzao.

Uislam ulitokana na muddy baada ya kupigwa roba mapangoni na shetani alla.
hivi ukiwa na ndoa, ukazaa na housegirl, huyo sio mtoto wa nje? nje maana yake ni nje ya ndoa. sara alikuwa housegirl toka Misri na sara alimwambia ibrahim alale naye amzalishe, sio amuoe. elewa hilo.

na ugomvi mkubwa wa waislam na wayahudi hadi leo ni wa mirathi. sara alipopata tu Isaka, alimwambia ibrahim amfukuze housegirl pale nyumbani kwa sababu housegirl na mtoto wake hawawezi kurithi. wakafukuzwa. kwenye mgao wa ile ardhi na baraka zote, zilienda kwa isaka, na alichopewa ishmael ni uzao mkubwa tu basi. ile kunyimwa urithi ndio chanzo cha chuki iliyorithiwa vizazi. hadi mud alijaribu kugeuza maneno kwenye kuran ati isaka ndio alikuwa mtoto wa kamba na kwamba baraka zilienda kwa ishmael, mara ohh aliyekuwa anachinjwa kutolewa sadaka alikuwa ishmael sio isaka. hiyo yote ni kuhangaika kumhalalisha ishmael aonekane alikuwa mtoto wa ndoa sio haram na aonekane alistahili urithi na alipewa, kube hakupewa chochote. hadi mud kwenye kitabu chake aliwaambia wafuasi wake wawauwe wayahudi.
 
Sijawahi ona logic ya wakristo kuwachafua manabii wote na mara ibrahim alizini na kija kazi mara nuhu alilala na wanae hivi mnakuwa na shida gani .
Sisi waislam Ibrahim alimuoa kijakazi baada ya mkewe Sara kukosa mto
logic ni ndogo sana kuelewa. kuran imekuja miaka 3000 baada ya torati na manabii kuwepo. nenda kwenye vitabu vyote vya wayahudi, talmud na torati na chochote, historia yake imewekwa na kuhifadhiwa hata kabla mohamed hajazaliwa. kwa hiyo mohamed kuja kuleta uongo miaka 3000 baadaye kwa kitu kilichoexist maelfu ya miaka, ni jambo la ajabu kabisa.

vitabu vyote vya kiyahudi vinaeleza kwamba, ibrahim alikuwa na mke aliyeitwa Sara, na walikuwa na mfanyakazi wa ndani aliyeitwa hajir. baada ya kukosa mtoto, sarah akamwambia ibrahim amzalishe hajir mtoto, hakumwambia amuoe ili awe mke mwenza, na hakumuoa kuwa mke mwenza, na wala hakuwa suria wake, alikuwa mfanyakazi wa ndani, na hakumuoa. ibrahim alilala naye, akazaa ishmael, na hata baada ya kuzaa aliendelea na hadhi ile ile ya mfanyakazi wa ndani, hakuwa na hadhi ya mke, ndio maana hakuzalishwa mtoto mwingine kwa sababu hakulala naye tena. angekuwa mke mbona ishmael angekuwa na wadogo zake wengi tu au unafikiri alifunga kizazi? kwahiyo ona mud alivyopotosha akasahau namna ya kudanganya, na uongo huo ninyi mmebaki nao kujifariji nao hadi leo.

Isaka alipozaliwa na kukua, sara alimwambia ibrahim amfukuze pale nyumbani mfanyakazi wa ndani, ndio alifukuziwa uarabuni huo, na hakupata urithi wowote, na ndio chanzo cha waarabu kuwachukia wayahudi hadi leo. Huyo Isaka ndio alikuwa baba wa Yakobo (ambaye jina lingine ni Israel) ambaye ile nchi yote ya Israel iligawanywa mikoa 12 kila mtoto wa kiume akipata mkoa wake. waisrael kwa yakobo ni kizazi cha 3 tu toka kwa Ibrahim ndio maana taarifa zake ni authentic, ni babu yao.

mfano, Yerusalem lilikuwa jimbo la Yuda, (Juda) na humo ndio hata asili ya neno Jew lilitokea au kwa kiswahili WAYUDA. Yuda alikuwa mtoto wa Yakobo(Israel) ambaye mikoa ya kaskazini (ya ndugu zake) walipomwasi Mungu yeye aliendelea kumwabudu Mungu, ndio hadi leo imani yake ikawa ya wana wa Yuda ikawa kama dini ya Judaism, ndio dini ya kiyahudi ambayo iliendelea hadi kipindi Yesu anazaliwa, wakati kabla ya hapo makabila mengine walianza kuabudu miungu mingine. kwa hiyo ukisikia Jew au judaism jua hili. mud kawadanganya sana.
 
Umesoma baraka alizobarikiwa Ismael na Mungu?
 
Upuuzi mtupu
Hivyo vitabu vya miaka elfu tatu iliyopita nani aliviandika,usimsingizie "roho mtakatifu" hiyo concept ilikuja kuundwa Nicea na Constantine miaka 350 baada ya Yesu kutundikwa kwenye jiti.
Kanywe ***** ya upako urudi tena Ukiwa na akili timamu.
NB: Simulizi nyingi za Tourati ni copy and paste ya dini za kale Waajemi, mfano hadithi ya mafuriko (Noah's mythical take,) iliandikwa miaka elfu saba kabla ya kuwepo kwa Taifa la Wayahudi ( Tales of Gilgamesh kama unajua kiingereza tafuta usome).
Una Imani ya kijinga kabisa.
 
vitabu 4 vya awali vya Biblia kwanza viliandikwa na Musa. na story hizo zimo humo. baod hujaenda kwa vile vya wayahudi (ambavyo hi hivihivi) vimehifadhiwa kwa lugha ya asili. hiyo ni historia ambayo wayahudi wameishi nayo hata kabla mtume wenu aliyeleta kitabu cha uongo hajazaliwa. sasa sijui nikuelimisheje.
 
Wewe unayofauti gani nao,mana wao wanadanganywa na wazungu wewe nawe unadanganywa na waaarabu...Same old shit just a different day.
 
Ila kimsimgi ukiacha uzombi wa dini,hakuna chain ya manabii na mitume iko upande wa wayahudi,hilo uubishe ukatae ndio ukweli...mbona wakristo wamelikubali hilo,ila waisharamu hawataki au kisa muddy alikua na uadui nao ndio mana analazimisha kuwa migume na manabii walikua waisharamu wakati uisharamu ulianzia kwake yeye huko mapangoni.
 
Kituko cha mwaka,utasema yote lakini aliyebadilisha dunia hii na elimu ni mmisri na wagiriki tu...waarabu walikua wanakufa na kipindupindu arabia mana hata maji ya kuchambia walikua hawana..tofauti ya muarabu na mwafrika ni rangi tu.
Wewe ukoo wako umeleta Nini hapa duniani ? Wewe hufikii visigino vya waarabu kwa mchango katika elimu.
Kula makande tu umalize oxygen hapa duniani huna unalo changia.
Namba unazotumia Leo ni za waarabu.
Hiki kiswahili unachoandika hapa bila mchango wa waarabu ungekua bado msituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…