BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni mliozaliwa nje ya ndoa, sina budi kuongea ukweli
Pole sana kwa kuwachukia waarabu, jiangalie hapo ulipo, una maendeleo gani! Unaishi vipi na watu! Utapata jibu