Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto gani wa Nyerere ana nyumba
Butiama? Watoto wa baba wa Taifa hapo kijijini wanafugwa na Mama Maria Nyerere!
 
 
Nyerere ana watoto wengi,yupi huyo? Steve wa mama ongea na mwanao au yupi?
 
Anakunywa sn pombe
 
Kuhusu yule mtu anayesema jana alikwenda Upanga kwenye Buddhist Temple akaongea nao akakuta kwamba they do not have any great knowledge of Buddhism,well,mimi ndiye Katibu Mwenezi kule na sasa nataka nukuu moja;

If among them you ask what are the six attributes that should be perfected on the sixth level,they are the six perfections-- that is,the perfection of generosity,the perfection of ethical discipline,the perfection of tolerance,the perfection of perseverance,the perfection of meditative concentration,and the perfection of wisdom should be perfected. If you ask why,it is because, while acting in these six perfections,the blessed lord buddhas,the sravakas,and the prattyekhabuddhas have gone,are going and will go to the other shore of the five objects of knowledge.

If you ask what are these five, they are the future, the present,the past, the inexpressible,and the unconditioned.
 
Duuh,sawa blaza. Hapa Mwanza uko sehemu tuonane baadae tupige gambe.
 
Nyerere yupi?? Steve comedian???
 

Sasa kumbe ndo wewe Andrew Nyerere.... kusoma Urusi nako ni matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…