Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Brother Andrew unazingua sana ujue, wewe wa kugombea hela na vijukuu kweli?
 
Lakini kitambo mbona yuko mjini 😄...nlipishana naye siku wakati fulani mitaa ya barabara ya shule ya feza pale mikocheni...nikataka kumsalimia akahama barabara
😄
Ngoja siku nkiwa dar nimtimbie pale kwao 😄

Ova
 
Sasa wee babuu, si uende kwa Rais muambie akupe fungu LA pesa uanzishe biashara yako.

Unakubali vipi watoto wa marais wengine wanakula raha, afu nyie apeche alolo, fanya ukachukue pesaa huko hazina.
 
Hapa sasa ndo nimeelewa kumuhusu huyo Andrew.
 
Lakini kitambo mbona yuko mjini [emoji1]...nlipishana naye siku wakati fulani mitaa ya barabara ya shule ya feza pale mikocheni...nikataka kumsalimia akahama barabara
[emoji1]
Ngoja siku nkiwa dar nimtimbie pale kwao [emoji1]

Ova
Kwani ana matatizo gani huyo Andrew? Kwanini Makongoro asimpe mahitaji yake huyo Kaka ake?
 
Katika familia sio wote wanabarikiwa, kuna mmoja lazima awe issue! Fanya uchunguzi wa kina unijibu bila unafiki.
Kwa Nyerere imezidi,
Andrew, Makongoro, afu kuna wa kike alikua lecturer wa Chuo (RIP) wote hawa inaonekana hawako timamu kabisaa.

Sijui Nyerere alifanyajeee! Aaaah
 
Sasa wee babuu, si uende kwa Rais muambie akupe fungu LA pesa uanzishe biashara yako.

Unakubali vipi watoto wa marais wengine wanakula raha, afu nyie apeche alolo, fanya ukachukue pesaa huko hazina.
hahahaaaaaaa... eti kwa nini anakubali kuwa apeche alolo wenzake wanakula bata....

Simple answer is, it is not in their DNA. Baba yao hakuwa jambazi. Hawakulelewa kuwa street runners wa dili za baba zao za kupoka na kuuza nchi.

Na huwezi kumpa mtaji mleta mada afanye biashara, the first born of the founding father has been afflicted with episodic neurological issues since childhood. Wale wengine wamewajaribu mavyeo, ikawezekana kwa mmoja, Makongoro. A nauseating buffoon, anadhani Ukuu wa Mkoa ni uchekeshaji. But what the heck, huwezi kumuandama, ni kiongozi gani nchi hii sio buffoon?

Sasa, tatizo la haya majangili ya serikali, yanashindwa kuwasitiri hawa watoto. Andrew kasema yuko stendi ya Mwanza anaelekea D'Salaam. First born wa Mwalimu, pamoja na mental health issues zake, anawaaibisha akija kulia humu kwamba yuko stendi ya Mkoa anakimbia kesi ya child abuse kabambikwa kijijini akigombea hela na watoto.

There is no way in hell Abduli Samia au Miraji Kikwete anapanda basi la Mwanza au kipanya cha kijijini kama usafiri wake wa kudumu. Lakini the CCM cartel hawana sense ya kusema hili linatuabisha majangili. Tuna ma Landcruisers 10,000, tutoe mawili yakae Butiama permanently.

Jana kwenye mkutano Mwanga, Freeman Mbowe ame flash picha ya msafara wa VP Philip Mpango, Kigoma huko, ma Landcruisers 60. Profesa wa Uchumi lakini alipasi kwa kukariri. Basi toeni VX V8 mbili ziwasitiri wale ambao baba zao hawakuiba. You can afford it, mlituambia mnazo za kumwaga, hakusema Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…