Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Huko mbali sana. Huyo Hafidh hajaenda kwa mambo ya nchi. Kampuni yake binafsi inataka kuzalisha umeme wa jua huko Uganda.Tushakuja! Ahahahahaha! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema, Rais anaweza kumteua mtu yoyote kufanya kazi kwa nafasi yoyote itakayoamriwa na Rais katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa hapo tatizo nini?
Lord denning, pia hapo ikulu ya Entebbe rais Museveni na ujumbe kutoka Tanzania kulizungumziwa ujenzi njia ya umeme mkubwa wa kutoka Uganda Mutukula hadi mjini Mwanza Tanzania. Umeme wa uhakika kwa kanda ya Ziwa Magharibi ya Tanzania ulisisitizwa.During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.
The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
Wapi imesemwa lazima kampuni itajwe? Ukitaka kuijua kamuulize Museven sio mnakuja na ngonjera zenu eti katiba imevunjwa. Imevunjwaje?Kwa nini kampuni haikutajwa? Kawaida kama alienda kibiashara, kampuni na cheo vingetajwa.
Huyo dogo dhumuni la kwenda hapo ni kuwasilisha mradi wake wa kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 ambao Rais Museveni ameupitisha. Hilo la kuwepo njia ya umeme kuja Mwanza sio mradi wake na taarifa imesema hivyo. Wamezungumza haja ya kuwepo kwa hiyo njia sio kwamba ndo mradi uliompeleka UgandaLord Denning, pia hapo njia ya umeme mkubwa wa kutoka Mutukula hadi mjini Mwanza Tanzania
Wewe ni mbishi na mpuuzi. Haikutajwa kampuni na cheo chake sababu ailenda kama mwakilishi wa serikali kupitia nafasi ya mama yake.Wapi imesemwa lazima kampuni itajwe? Ukitaka kuijua kamuulize Museven sio mnakuja na ngonjera zenu eti katiba imevunjwa. Imevunjwaje?
Wapi imesemwa ameenda kama muwakilishi wa Serikali?Wewe ni mbishi na mpuuzi. Haikutajwa kampuni na cheo chake sababu ailenda kama mwakilishi wa serikali.
Huyo dogo dhumuni la kwenda hapo ni kuwasilisha mradi wake wa kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 ambao Rais Museveni ameupitisha. Hilo la kuwepo njia ya umeme kuja Mwanza sio mradi wake na taarifa imesema hivyo. Wamezungumza haja ya kuwepo kwa hiyo njia sio kwamba ndo mradi uliompeleka Uganda
Inference au tafsiri ya yaliyoandikwa kwenye hiyo taarifa. Usijifanye una akili sana wewe kenge!!Wapi imesemwa ameenda kama muwakilishi wa Serikali?
Sasa kwanini CCM isishinde wakati nchi imejaa mazezeta kama wewe? Viumbe kama wewe hujui baya wala zuri mpo kama miroboti inayoendeshwa na rimoti tu, Kila kitu ni NDIO.Hata uichukie bado CCM itaendelea kushinda na kupita kwa kishindo kikuu maana ndio chaguo la watanzania.
"Future engagement "During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.
The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
Kwa hiyo tafsiri uliyojijengea kichwani mwako ulipotaja maharage ndo unataka kuifanya kuwa tafsiri kuu?Inference au tafsiri ya yaliyoandikwa kwenye hiyo taarifa. Usijifanye una akili sana wewe kenge!!
Kivipi?Samia is a mere kleptocratic, corrupt, and Schizophrenia leader.
Tanzania's under samia is resource cursed country.
God help us from this fate.
11 August 2023
President Museveni meets delegates from Tanzania, discuss cooperation in energy sector
During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.
The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.
Ni NAIBU RAIS, huyo ndio amebeba MIKOBA ya Bashite enzi za utawala wa KIHALIFU wa JPMRais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Kwanini imeandikwa “delegation from Tanzania” na siyo “investors from Tanzania”?Kwa hiyo tafsiri uliyojijengea kichwani mwako ulipotaja maharage ndo unataka kuifanya kuwa tafsiri kuu?
Una shida
Nini maana ya neno delegation? Umesoma wapi?Kwanini imeandikwa “delegation from Tanzania” na siyo “investors from Tanzania”?
haya endelea kulalamika mitandaoni ajenda mpya hii ya mtoto wa Rais katumwa UG.Aisee!!
Jitahidi kidogo kuonyesha wewe ni binadamu na si robot!!
Niambie wewe mwenye “higher learning” tafsiri ya “delegation”? CEO wa kampuni anayetaka kuwekeza nchi fulani tokea lini aitwe “delegate”?Nini maana ya neno delegation? Umesoma wapi?
According to UETCL, Uganda exports electricity to Kenya, Tanzania, the Democratic Republic of Congo and South Sudan.
Delegation in swahili simply means ujumbeNiambie wewe mwenye “higher learning” tafsiri ya “delegation”?