Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Matacle yako wewe, kuna mahala imetajwa kampuni yake hapo? Kwanini kuwe na usiri? Maffisi nyie
 
"Itageuka nongwa", No proof kama ni mtoto wa rais, Abdul ni wengi, hata akiwa ni mtoto wa rais,kwa hulka na tabia ya mamaye,mbele ya safari atakuwa kiongozi safi kabisa assiye na makuu wala majidai.,sioni ubaya wowote,isipokuwa wale wenye ROHO mbaya hii kwao tayari ni agenda!
 
Hiyo kampuni yake inaitwaje na ina miaka mingapi katika biashara? Imeshafanya projects ngapi ndani na nje ya nchi? Tuwekee sifa za hiyo kampuni.
Hilo swali sisi la nini? Linatusaidia nini?

Nenda kamuulize Museveni aliyeidhinisha mradi wa hiyo kampuni kuzalisha megawati 20 za umeme Jua huko Uganda. Usitusumbue hapa
 
Uzuri wa Power ni inshu ya temporary tu, Ndio mana Leo Kina Jesca magufuli huwasikii popote hata kama wanapesa ila hawana tena influence na watawala wa mbeleni wanaweza kuja kuwa distrube, Leo Rais wa Niger analalamika kukosa Maji na Chakula kizuri na mwanae kukosa medication kwani yupo kwenye Dentention kwenye Presidential Palace kutoka kuwa mwananchi namba moja mpaka kulalamika kukosa chakula, Mtoto wa William Ruto alianzisha Office of the First daughter, Kenya walivyopiga kelele kuwa Office hio haipo kikatiba na Itatumia fund zipi kujiendesha, Ruto alikutoka na Kusema Kuwa hio ofisi haipo na Haipo kisheria ni mambo ya watoto tu, Leo tunamuona mseveni na Mwamba uyo sasa je kuna press release yoyote imetoka Kwenye serikali ya tanzania?
 
Sasa kwanini CCM isishinde wakati nchi imejaa mazezeta kama wewe? Viumbe kama wewe hujui baya wala zuri mpo kama miroboti inayoendeshwa na rimoti tu, Kila kitu ni NDIO.
Kama huamini kuwa CCM inashinda kihalali basi hama nchi ndugu yangu maana CCM ndio chaguo la watanzania na utaendelea kuiona kwa miaka mingi sana katika uhai wako
 
Kama huamini kuwa CCM inashinda kihalali basi hama nchi ndugu yangu maana CCM ndio chaguo la watanzania na utaendelea kuiona kwa miaka mingi sana katika uhai wako
Ni kweli naamini bila kubisha CCM inashinda kihalali kwakuwa watu wenyewe hawajui hata kwanini wapo Duniani, vile CCM itashinda milele ndio vile vile Tanzania itakuwa masikini milele
 
Labda kaenda kama muwekezaji kwenye sekta ya Nishati
 
hawa wapo kwenye payroll je huyu ni mtumishi idara gani? hao unaosema tayari wanajulikana ni waajiriwa hebu tumwambie huyu kaajiriwa wizara gani na kaajiriwa mwaka gani? kuna mmoja nasikia anauza matairi pale Kariakoo na halipi ushuru, sijui ndio huyu au ni mwingine. usifananishe mnazi na mbege japo zote ni pombe!
 
Kwani mtoto wa Rais hatakiwi kushika cheo Serikalini? Amevunja ibara ipi ya Katiba?
 
Wapo wafanyabiashara wengi tu Watanzania Uganda. na Vivyohivyo Wafanyabiashara wengi tu Waganda Tanzania. Sio wote wanaopewa status ya "Delegation" from either countries kwa mkuu wa Nchi pasivyo kuwa wana Utambulisho kutoka Serikalini au Kwenye shirika au Kampuni inayotuma Ujumbe. Kama ni Kweli huyo Kijana ametumwa kama mjumbe tu, swali la kujiuliza ni kutoka Kampuni gani? Na je wanafuzu kuitwa Delegation from Tanzania as Opposed to Delegation From so so Company kutoka Tanzania. Na kama yeye ndio Mkuu wa Hiyo kampuni, ninavyomjua M7 angeandika aidha amekutana na CEO COO CFO what have you kama ilivyo. Huyo kapewa nguvu ya kiserikali.

Isitoshe hili nalo laweza kuwa ni mbinu mpya ya kututoa relini(mtakumbuka teua tengua wakati wa sakata lelote lile), yaani ni fupa tu la kumumunya wakati Bandari Inagawiwa kwa Wajomba.Kiufupi limetupwa fupa kuzima na kufunika mijadala hasi dhidi ya Serikali yetu.

Chaguo lako.
 
Sasa hayo maswali yako sisi kama Tanzania yanatuhusu nini?

Si muende mkamuulize Museveni?

Yaani how comes watanzania tusumbuliwe na tweet ya museveni inayohusu wawekezaji wanaoenda kuwekeza Uganda?
 
Ameenda kama nani Sasa? Tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…