Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Wapuuzi kama huyo wamejaa nchi nzima ni sawa na yule Mheshimiwa Mpina kule bungeni ni wivu, roho mbaya na majungu kwa kwenda mbele.
 
Hiyo mijitu mijinga.
Rais Samia kila siku anapokea ujumbe wa Marais mbalimbali,ni lini uliona hao Marais wakiwatuma watoto wao?
Huyo Mseveni masuala ya Nishati huwa anamtuma Waziri wake wa Nishati na siyo mwanae Muhozi Kainerugaba,uyo mtoto wa Samia ana cheo gani serikalini mpaka awe head wa delegation za kiserikali.
Usijitoe ufahamu,leo mumeshikwa pabaya![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magufuli alikuwa mwizi tu, nchi hii mwaminifu ni Julius Kambarage Nyerere hakugusa madini wala utajiri wowote tulionao.

JPM amepiga pesa za plea bargain na kuzipeleka kule China, pia ukumbuke kwa miaka karibu 20 alikuwa bosi wa wizara ya ujenzi.
 
Kwani huyo mtoto ameenda kwa masuala ya kiserikali?

Kama hamuelewi lugha semeni msaidiwe kutafsiriwa jamani
 
Wenzio wanampinga hadharani ila wewe cha uwoga kazi kutukana kwenye keyboard. Toka nje kama kina Mwabukusi na shoga mdude uone kama utaweza kutukana.
Huyo kama mbwa koko tu, anabweka akielekea mlangoni huku mkia wote kaurudisha tumboni.
 
Magufuli alikuwa mwizi tu, nchi hii mwaminifu ni Julius Kambarage Nyerere hakugusa madini wala utajiri wowote tulionao.

JPM amepiga pesa za plea bargain na kuzipeleka kule China, pia ukumbuke kwa miaka karibu 20 alikuwa bosi wa wizara ya ujenzi.
Sawa aliiba yeye na rafiki zake Ila hajawahi kukosa aibu hadi kufikia hatua ya watoto wake kua mstari wa mbele kama maafisa wa serikali kwenda kufanya biashara na wakubwa wengine wa serikali!!
 
Ameenda nkuiuza Tanzania kwa Museveni.

Wewe kama hukupenda nenda mahakamani, tatizo nini?

Wacha ujinga.
 
Sawa aliiba yeye na rafiki zake Ila hajawahi kukosa aibu hadi kufikia hatua ya watoto wake kua mstari wa mbele kama maafisa wa serikali kwenda kufanya biashara na wakubwa wengine wa serikali!!
Pata taarifa kamili ya hiyo safari ya huyo dogo vinginevyo ni hukumu zile zile zisizo na ushahidi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…