Mawazo ya kimasikini hayo, niache kuchukuwa mafursa ya biashara za DP World nikaajiriwe?Bado kidogo tu upate nafasi ya uteuzi! Ongeza bidii!!
Itβs a pity how people are willing to degrade themselves for others.Yupo so aggressive like scorned bitch yet so dumb.
Yana mwishoRais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
NB- imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.
Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Hovyo sana hili dubwasha. Lipo irrational na hoja zake zimetawaliwa na hisia/emotions tu.Itβs a pity how people are willing to degrade themselves for others.
tabia za Uchawa zimeanzia CCM na serikalini; huku mtaani hawa watoto wanaiga tu.
Ukute baba zima linawatoto linatumia nguvu hivyo kutetea majizi yanayoumiza ndugu zake huko vijijini kisa lenyewe linapewa hela ya kubadili mboga.
Jamaa jitu la hovyo kweli
Watoto wa Nyerere mnawacheka kuwa baba yao hakuwaandalia kwa vile alikuwa busy na kujenga nchi. Unataka na Samia akitoka naye wanawe wakasubiri kulinda makumbusho kama Madaraka Nyerere kule Butiamq?Majuzi Rostam Aziz katangaza anawekeza $100m Zambia kwenye LPG umeona kazua mjadala wowote, si kila mtu anaelewa ni mfanyabiashara ata kama alianza kama fisadi.
Sana sana kilichozua mjadala siku hiyo aliposema majaji watanzania ni wakupigiwa simu, lakini hakuna aliezungumzia uwekezaji wake.
Same Bakhresa, Sawaya, Mo Dewji na matajiri wengine tukisikia wana mpango wa kuwekeza $25m million sehemu hiyo wala sio habari; wanajulikana ni wafanyabiashara matajiri, shughuli zao rasmi zinajulikana na wanakopesheka ata bank zilizopo nje ya Tanzania.
Shida sio mtoto wa raisi kuwekeza, shida ni hizo hela anatoa wapi; hawana historia ya utajiri kwenye familia yao.
Pale Jumba jeupe Kuna biashara Gani?Swali lako halipo sawa, kwa sababu hauelewi kaenda kwa lipi na au anam "delegate" nani.
Msiwe mnakurupuka tu.
Huwezi kuwa Rais halafu mtoto wako ashindwe kupata mtaji. NEVER. Angalia hata USA Hunter Biden alivyokuwa na biashara zake UkraineShida sio mtoto wa raisi kuwekeza, shida ni hizo hela anatoa wapi; hawana historia ya utajiri kwenye familia yao.
Mbona watoto wa Kikwete awachekwi.Watoto wa Nyerere mnawacheka kuwa baba yao hakuwaandalia kwa vile alikuwa busy na kujenga nchi. Unataka na Samia akitoka naye wanawe wakasubiri kulinda makumbusho kama Madaraka Nyerere kule Butiamq?
Mtaji ametoa wap?Kaenda kuzungumza project gani ya nchi?
Kampuni yake inataka kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 hapo Uganda. Je iyo ni project ya nchi?
Wewe ukienda kuongea na Museven kuzalisha umeme Uganda hiyo ni project ya nchi?
Kwenda zako wewe labda walikuwa wapumbavu lakini wapwa zake na mahawara zake wote walipata vyeoAfu Magu asisingiziwe, watoto wa Magu hawakujulikana Hadi ulipotokea msiba!!!
KamuulizeMtaji ametoa wap?
Mzee Butiku Juzi alimsema ktk barua yake Kwa Sa100.EEEEEEeenHeeeeeEEEEe!
Kamba yake ni ndefu kuliko zote, au siyo?
Nchi hii sikujua kuwa viongozi wetu wa juu wanatuangalia kwa dharau sana kiasi hiki!
Hivi kweli ndani ya CCM na huko serikalini hakuna hata mtu mmoja mwenye ubavu hata wa kunyoiosha kidole tu?
Capitalism ya US ni kichaa, kuna watu wana tender za mazabe huko huyo Hunter Biden cha mtoto.Huwezi kuwa Rais halafu mtoto wako ashindwe kupata mtaji. NEVER. Angalia hata USA Hunter Biden alivyokuwa na biashara zake Ukraine
Acha kuandika uongo wewe watoto wote wamarasi wanasaidiwa na majina yao na wengi hawana akili kichwani wamebeba majina yao tu kwenye akili hamna kitu usituletee uhanithi kwa maneno ya MaalimMbona watoto wa Kikwete awachekwi.
Kwa sababu alijua kuwa
panga watoto wake.
Wengi professionals wanajilisha, wafanyabiashara biashara wameanza chini.
Huyo Ridhiwani ni baada ya ubunge kuwekeza mshahara wake, deal zake na sasa labda deal za wizara.
Kabla ya hapo alikuwa mtoto wa kigogo tu, na baba yake tajiri lakini ni hela zake.
Mtoto wa Kikwete alie mgharamia ni wa U.K. tu na yeye baada ya kupewa mtaji mdogo tu anajitegemea.
JK ajalea watoto zake wamtegemee kabisa pamoja na utajiri wake, labda wagombee mirathi lakini wote kawalea kujitegemea, so are watoto wa Mwinyi, Mkapa, Magufuli na Nyerere.
Sio huyu mama mitoto yake na ndugu zake anapachika tu.
Jamaa ni Rasibabmba qeliππππππππππSo what?
Kwamba sababu mtangulizi alikosea, nawe unakosea makusudi? Haihalalishi UOVU anyway!!
IPO siku!!
Ajabu sana juzi hapo rwanda kagame kamteua binti yake sipati picha uteuzi huo ungefanyika hapa nchini. Watu wana roho mbaya sanaWatu wana roho mbaya sana, yaani hata kujua kwamba wamefanya jambo ambalo sio kosa kwa nchi wanashambulia personality
niwaulize tu mnahisi alienda kufanya kosa lipi?
Mtoto wa Rais hapaswi kuwa na nafasi serikalini?
ππSi ndio mnaulizwa ana cheo gani? Hao uliowataja wana vyeo vyao. Museveni mkuu wa Special forces, wa Kagame Special advisor,Huyo wa Tanzania yeye ni Mjumbe. Mjumbe ndio cheo gani?amevunja ibara ipi ya katiba yetu? hii nayo ni post? Ulitaka asiajiriwe? Hivi watu mnawaza kwa kutumia viuongo gani? Hujui mtoto wa Museveni ni mkuu wa majeshi kule Uganda? Na je Rwanda unafahamu watoto wa Kagame wako ktk nafasi zipi. Mtoto wa rais ni dhambi kufanya kazi? Sijawahi ona mtu mpumbavu km wewe.