Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Huo ukatoliki ni fake I'd kama I'd tunazotumia humu, viongozi wote wa kitaifa unaowapenda na kuwahusudu ni wanzako katika Imani.
Mimi ni mkristo ila sifichi. Nawakubali sana waislamu. Ni waaminifu na wana roho nzuri sana kuliko wakristo wenzetu. Wakristo wenzetu ni wanafiki sana na wengi wana roho mbaya.

Nilitofautiana na Magufuli kwa sababu ya tabia zake na sera zake. Mkapa ninamkubali hadi kesho. Au mkapa nae alikuwa muislamu?
 
Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.

Roho mbaya ya nini, yaani nilione wivu familia ya majizi.

Watu wanahitaji miundombinu wapate access za masoko wajiinue kibiashara, hizo hela hawana. Halafu mitoto yao ina hela ya kuwekeza nje ya nchi kiasi cha kujenga 50km ya lami Tanzania.

Sema na njaa zako usidhani kila mtu anaona sawa kuwaibia watanzania walio wengi maskini.
Kwenda huko na ushamba wako kwa hiyo ulitaka yeye afanye kazi kwa juhudi ,maarifa na bidii ili aje akugawie wewe iliyekaa hapo kwa kubweteka tu kama mtungi wa maji? Fanya kazi upate hela na siyo kuwaonea wivu wa kichawi walio navyo.
 
Kwenda huko na ushamba wako kwa hiyo ulitaka yeye afanye kazi kwa juhudi ,maarifa na bidii ili aje akugawie wewe iliyekaa hapo kwa kubweteka tu kama mtungi wa maji? Fanya kazi upate hela na siyo kuwaonea wivu wa kichawi walio navyo.
Kumbe wewe unavyojikomba hivyo ndiyo kufanya kazi?
 
Shida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
Upo sahihi kabisa. Wapo wanaofaidika na mgawanyiko huu. Walaaniwe, funga buti, na uwalaani kwa nguvu zote.
 
Sioni jambo la ajabu hapa
Tungemuona Mdude Chadema tungehoji anaaandamana huko?
Lakini huyu kijana ana tatizo gani mpaka watu washangae
 
Tukiwaambia Tz kuna Royal Family mnakataa, haya kwa macho yenu mmemuona mwana mfalme.
 
Kijana hana hatia , Imagine kama Rais Samia angefanya kama Mseven alivyofanya kwa mtoto wake Kainerugaba, alicho fanya Kagame kwa watoto wake ,hata Trump alichofanya kwa watoto wake
Kimsingi kama Mtoto wako mwenyewe huwezi mumuamini nani zaidi unaweza kumuamini?
Angeenda peke yake Uganda ingekua sahihi kuuliza ,lakini kaenda na delegation Tatizo liko wapi?
Trump alivyomfanya Jared ambaye ni mkwe wake kuwa Mshauri wake wa masuala ya usalama wamarekani walilalamika?
Ivanka alivyokua karibu na Trump kwa masuala ya Ofisini Wamarekani walilalamika?
Mseveni na kijana wake Kaine Rugaba waganda walilalamika?
Rais wa Uturuki ana kijana wake kwenye kikosi cha usalama wa kumlinda Rais kuna waturuki walilalama?
Kuna Kosa gani Kijana kuambatana na maofisa kwenye majadiriano hayo?
Umeshaambiwa kabisa kuna watu mpaka wanapanga kumpindua Rais kwa nini usihakikishe walau kijana wako anaona nini wanaenda kunnegotiate?
hakuna kosa
Hao wote uliowatolea mfano sio watu wazuri wa kuigwa katika uongozi uliostaarabika na ambao ni kwa maslahi ya raia walio wengi.
 
Hao wote uliowatolea mfano sio watu wazuri wa kuigwa katika uongozi uliostaarabika na ambao ni kwa maslahi ya raia walio wengi.
Nieleze Kijana na ubaya gani?
anakaa na Rais anasikia na kujua vitu vingi,ni mtanzania kama wewe na mimi kwa nini asimsaidie Rais
Kwa nini uone ni sahihi kwa mtu mwingine kuhusika lakini sio yeye ?
Ana jinai gani inamkabili mpaka asimsaidie Rais?
Hii hoja haina mashiko
 
Huyo jamaa hata kiingereza sina uhakika kama anajua.
Hizi ni personal attacks ambazo hazina maana
aje mtu asema kijana anatatizo la akili tutamwelewa ,lakini vinginevyo sioni tatizo lolote
 
Tukiwaambia Tz kuna Royal Family mnakataa, haya kwa macho yenu mmemuona mwana mfalme.
🤣🤣Anamsaidia bi mkubwa kazi
Ila manake keshajizeekea huenda hata makabrasha mengi yeye ndo humpa ayasome,afu amwelezee🤣🤣🤣kijana karithi urahisi wa bi mdashi, Zanzibar hoyeee
 
🤣🤣Anamsaidia bi mkubwa kazi
Ila manake keshajizeekea huenda hata makabrasha mengi yeye ndo humpa ayasome,afu amwelezee🤣🤣🤣kijana karithi urahisi wa bi mdashi, Zanzibar hoyeee
Kijana wa hovyo sana wewe ,ngoja tukuache ,
Kamgoogle Jared Kushner
 
Kijana wa hovyo sana wewe ,ngoja tukuache ,
Kamgoogle Jared Kushner
We yule Bibi kashajichokea
Angekuwa mzungu sawa,wanakuwaga wasomi na haiba ya uongoz Kama kina Angela Merkel, Hillary Clinton and the like
Lakin, mwanamke,mweusi,Tena mswahili,lol umri ule wenzie zenziber wanalea wajukuu upenuni wakisikiliza twaarabu taratiiibu
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!

NB- imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.

Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?!!

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Matanganyika yamelala tu nchi inapolwa Kila Leo.Khaaa
 
Back
Top Bottom