Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Kwahiyo atakiw kwenda kutafuta fursa nhi nyingine? Mbona museven hajasema kama amekuja kwa niaba ya JMT hapo acheni wivu wa kindezi
 
Nchi hii wajinga ni wengi kuiongoza ni kazi sana.

1. Hakuna popote hio post ya mseveni ina uhusiano ma serikali. Hivi kwa mfano ingekuwa ondoa jina la mtoto wa samia weka Mohamed dewj au Gharib na delegation yake kutoka Tanzania tayari ishakuwa ni wawakilishi wa serikali? Hakuna popote imeandikwa ni delegation ya "serikali "mleta mada hujui maana ya delegation?

2. Hivi serikali inafanya biashara mpk ikapewe uwezo wa kujenga solar Uganda? Unaweza ona hizi ni kampuni binafsi.

3. Nani kasema ukiwa mtoto wa Rais huruhusiwi kufanya biashara au kazi hata ndani ya serikali? Hivi kila anaefanya kazi serikalini tunamfahamu? Mleta mada unamjua muhasibu wa wizara ya maji? HR wa wizara ya habari je? Secretary ofisi ya Pm unamjua? Unahoji kijinga jinga eti ni nani katika serikali?

Hivi unajua hata Mwalimu ni ofisa wa serikali?[emoji16] unawajua wote?

Kuendesha nchi ya wajinga ni kazi sana
Kazi kubwa sana huyu anajitoa ufahamu
 
Huna akili.

PERIOD.
Tukubakiane sina akili. Sawa. Shida iko wapi kama ana sia zote za kuanya hiyo kazi? Hivi unajua Bush Sr na Bush Jr mtu na baba ake wakiitawaka marekani?

Unajua kwenye utawala wa Trump mwanae alikuwa Afisa ikulu? Unajua husein mwinyi ni mtoto wa rais mwinyi?

Vita kawawa ni mtoto wa mzee kawawa? Shida ipo wapi? Hapo ulipo na ujinga wako jiweke Rais wa Nchi yoyote then fikiria mwanao japo huna nahs. Atafanya kazi gani? Atauza vitunguu nanjilonji huko?

Bashiru alisema " nafuu ya mwene madaraka"

Plato alisema strugle to live in a group of monority where the cake is fully enjoyed

Minority ndio watawala. Utakufa na makasiriko wakati ukoo wenu haujawahi toa hata balozi wa nyumba 10
 
Bro kwani Abdul anacheo au wadhifa gani maana hata mleta uzi anachihoji ni kuwa huyu mwana malkia ametumwa Uganda kwa issue za kitaifa kwa cheo gani ni hivyo tu...?
 
Athibitishe kwanza kuwa hio ziara ni ya kiserikali, maana hakuna kokote imeandikwa kuwa ni ziara ya Serikali
 
Bro kwani Abdul anacheo au wadhifa gani maana hata mleta uzi anachihoji ni kuwa huyu mwana malkia ametumwa Uganda kwa issue za kitaifa kwa cheo gani ni hivyo tu...?
Wapi umesemwa ametumwa kwa issue za kitaifa? Kampuni yake kwenda kuwekeza Uganda kwenye umeme wa Jua ndo issue ya kitaifa?
 
Magufuli alikuwa mwizi tu, nchi hii mwaminifu ni Julius Kambarage Nyerere hakugusa madini wala utajiri wowote tulionao.

JPM amepiga pesa za plea bargain na kuzipeleka kule China, pia ukumbuke kwa miaka karibu 20 alikuwa bosi wa wizara ya ujenzi.
Kwa hiyo Watanzania kuibiwa ni kawaida tu , hivyo inabidi tuzoee tu?
 
Enzi za Kikwee Ruziwani alitengeneza ukwasi wa kutisha ilikuwa ukipita kila sehemu unaambiwa hio ni ya Riziwani Kikwete, hio ni Riziwani. Alitengeneza tangible business zile za kuonekana kwa macho.

Sasa mtoto wa Mama yeye kaanza kuchuma, ila huyu wa Mama nahisi anatumia akili nyingi atakuwa wanafundishwa na wakina Yusufu Manji na wakina Rostam jinsi ya kuchuma, hataki uwekezaji wa kijinga jinga anataka ile mpigo mmoja anapiga si chini ya Billion 800 na anadili na zile Dili ambazo wajinga wajinga sio rahisi wajue.

Ukisha ona anaweza kukutana na Mseven jua sio mtu wa kudili na dili uchwarwa anataka kufanya zile za wakina Rostam hutamuona kwenye biashara za uchuuzi, huyu anataka kupiga zile Dili kubwa tu na za heshima.

Riziwani yeye alikuwa mara utasikia Hoteli mara sijui Shamba fulani mara Petro stations, ila huyu wa Mama ana washauri walio enda shule nahisi Rostam hakosekani kwenye orodha ya Washauri wake.
 
Kijana anapiga dili za first class.... kwa namna alivyo pose kwa ile picha na Museveni ile ni high protocol!!

Uzuri hawa 'wenzetu' huwa hawana aibu wakati wa kula... huwa tayari hata kugombania sinia ya pilau pale inapobidi!
 
Enzi za Kikwee Ruziwani alitengeneza ukwasi wa kutisha ilikuwa ukipita kila sehemu unaambiwa hio ni ya Riziwani Kikwete, hio ni Riziwani. Alitengeneza tangible business zile za kuonekana kwa macho.

Sasa mtoto wa Mama yeye kaanza kuchuma, ila huyu wa Mama nahisi anatumia akili nyingi atakuwa wanafundishwa na wakina Yusufu Manji na wakina Rostam jinsi ya kuchuma, hataki uwekezaji wa kijinga jinga anataka ile mpigo mmoja anapiga si chini ya Billion 800 na anadili na zile Dili ambazo wajinga wajinga sio rahisi wajue.

Ukisha ona anaweza kukutana na Mseven jua sio mtu wa kudili na dili uchwarwa anataka kufanya zile za wakina Rostam hutamuona kwenye biashara za uchuuzi, huyu anataka kupiga zile Dili kubwa tu na za heshima.

Riziwani yeye alikuwa mara utasikia Hoteli mara sijui Shamba fulani mara Petro stations, ila huyu wa Mama ana washauri walio enda shule nahisi Rostam hakosekani kwenye orodha ya Washauri wake.
Ni mwizi tu kama wezi wengine
 
Back
Top Bottom