Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Abdul hapo yupo na mkuu mwenzake Yoweri Museveni na wanaongea jambo la kitaifa. Mama Abdul huyo mwanao anatuwakilisha kama nani?
 
Wewe mtu wa kumbozi una shida sehemu kichwani humo!
 
Mama nampenda sana tena sana.
Ila natofautiana nae kwenye maamuzi kama haya ya bandari na upendeleo wa zanzibar.
Mama atambue hadi vijijini wanafahamu kila kitu kuhusu madudu yake.
Uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana kwake.
Historia nyingine itaandikwa maana kwa mara ya kwanza kutakuwa na serikali ya mseto
 
Ahsante mkuu kwa kuiweka hii...

Haya nyie Chawa mnasemaje hapa..!??

Haya sio matumizi mabaya ya ofisi. Yani Rais apande ndege akajadili state affaire...arudi amtume mtoto wake.!!

Wapumbavu nyinyi.
 
Nchi hii wajinga ni wengi kuiongoza ni kazi sana.

1. Hakuna popote hio post ya mseveni ina uhusiano ma serikali. Hivi kwa mfano ingekuwa ondoa jina la mtoto wa samia weka Mohamed dewj au Gharib na delegation yake kutoka Tanzania tayari ishakuwa ni wawakilishi wa serikali? Hakuna popote imeandikwa ni delegation ya "serikali "mleta mada hujui maana ya delegation?

2. Hivi serikali inafanya biashara mpk ikapewe uwezo wa kujenga solar Uganda? Unaweza ona hizi ni kampuni binafsi.

3. Nani kasema ukiwa mtoto wa Rais huruhusiwi kufanya biashara au kazi hata ndani ya serikali? Hivi kila anaefanya kazi serikalini tunamfahamu? Mleta mada unamjua muhasibu wa wizara ya maji? HR wa wizara ya habari je? Secretary ofisi ya Pm unamjua? Unahoji kijinga jinga eti ni nani katika serikali?

Hivi unajua hata Mwalimu ni ofisa wa serikali?[emoji16] unawajua wote?

Kuendesha nchi ya wajinga ni kazi sana
 
Soma hapa 👇👇
Jenga Tabia ya kupitia Uzi wote.. ujiepushe na aibu
 
Soma hapa [emoji116][emoji116]

Jenga Tabia ya kupitia Uzi wote.. ujiepushe na aibu
Hapo solar ipo wapi? Huyo museven kawapa go ahead kuweka umeme wa solar hapa unanionesha post ya MoU za ku transfer umeme toka Tanzania kuna uhusiano wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…