Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
practise makes perfect!
wacha azoee mazingira,sio mbaya,ukizingatia viongozi wengi wamechomeka vijanq wao serekalini.
#wivu usijewatoa roho !
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
practise makes perfect!
wacha azoee mazingira,sio mbaya,ukizingatia viongozi wengi wamechomeka vijanq wao serekalini.
#wivu usijewatoa roho !
Miaka 60 ya uhuru tunasikiliza hutuba za Nyerere, tunahitaji kusikia vitu tofauti.Alisema IKULU ni Mahali patakatifu, hawa wanapageuza pango la wanyanganyi Hadi mtoto asiye na qualificatn yoyote anawakilisha IKULU.
Ndomana zimefutwa kumbe HOTUBA za Mwl Nyerere!!!
Kwani sa100 amewahi toa HOTUBA yoyote yenye kuonyesha Dira ya Taifa?Miaka 60 ya uhuru tunasikiliza hutuba za Nyerere, tunahitaji kusikia vitu tofauti.
Yanamchafuaje?Nchi yeyote ile Mhe. Rais anatakiwa awe very clean(isiyobishaniwa) na yeyote lakini kwa hili kama ni mtoto wake heshima yake imepungua kwa kasi sana. Kwa nini ujiingize kwenye mambo ambayo unajua yatakuchafua?. Never on earth sijaona tukio la ajabu kama hili.
Miaka 60 ya kujitawala, nitajie kijiji/mtaa/kata/wilaya au mkoa mmoja tu uliojitosheleza kwa huduma zote za kijamii!Zinafanya vizuri
Vipo vingi sana.Miaka 60 ya kujitawala, nitajie kijiji/mtaa/kata/wilaya au mkoa mmoja tu uliojitosheleza kwa huduma zote za kijamii!
Juzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?Yanamchafuaje?
Tangu lini ikawa kosa kwa mtoto wa Rais kuwa mfanyabiashara na muwekezaji nje ya nchi.
Hutuba za Nyerere ndio zimetufikisha hapa, ndio zimetulea Muungano na Mama Samia, je tuendelee kusikiliza au tuachane nazo?Kwani sa100 amewahi toa HOTUBA yoyote yenye kuonyesha Dira ya Taifa?
Hilo swali kamuulize yeye katoa wapi mtaji. Sio unakuja kumsingizia mtu mambo ambayo huna ushahidi nayoJuzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?
IKULU imekuwa ofisi ya familia tangu lini?
Mnapata wapi ujasiri kufuta HOTUBA za Nyerere, Nia hiyo Si njema hata kidogo, Kuna jambo!!Hutuba za Nyerere ndio zimetufikisha hapa, ndio zimetulea Muungano na Mama Samia, je tuendelee kusikiliza au tuachane nazo?
Wewe unayetetea una ushahidi Gani?Hilo swali kamuulize yeye katoa wapi mtaji. Sio unakuja kumsingizia mtu mambo ambayo huna ushahidi nayo
Hivi kweli mtaji wa kuuza matairi ndio jambo la kujadili, miaka yote mama yake aliofanya kazi ashindwe kumpa mtaji mwanawe kweli. Tujadili vitu vya msingi jamani.Juzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?
IKULU imekuwa ofisi ya familia tangu lini?
Natetea kwa sababu unayeleta tuhuma hujaweka uthibitishoWewe unayetetea una ushahidi Gani?
Unahama sasa!Uchawa gani?
Wewe ukiwa Rais inamaanisha mtoto wako hapaswi kujihusisha na jambo lolote?
Mmoja tu uliojitosheleza! Hamna?Vipo vingi sana.
Kwa kifupi nchi nzima saivi kuna hospitali zimejengwa na zinajengwa, barabara kila mkoa, shule za kutosha, huduma za kijamii zimeboreka sana tofauti na wakati tunapata uhuru
Conflict of Interest kwenye nini?Unahama sasa!
Sio jambo lolote, sema jambo la kitaifa!
Conflict of interest inahusika!
Tujuze shughuli na nyadhifa zake kabla ya mama'ake kuwa makamu, kisha raisi.
Halafu utujuze ukitaka kufanya biashara na maraisi wa nchi nyingine kama ulivyotanabaisha, TUFANYAJE na sisi?
Kwahiyo huyo Si mtoto wa sa100? M7 kakosea?Natetea kwa sababu unayeleta tuhuma hujaweka uthibitisho
Moshi mjiniMmoja tu uliojitosheleza! Hamna?
Toa utaahila wako wewe,mtoto wa samia lini aliteuliwa kwenye hiyo nafasi?!, mbona mnakuwa chawa mpk mnakuw wapumbavu!?amevunja ibara ipi ya katiba yetu? hii nayo ni post? Ulitaka asiajiriwe? Hivi watu mnawaza kwa kutumia viuongo gani? Hujui mtoto wa Museveni ni mkuu wa majeshi kule Uganda? Na je Rwanda unafahamu watoto wa Kagame wako ktk nafasi zipi. Mtoto wa rais ni dhambi kufanya kazi? Sijawahi ona mtu mpumbavu km wewe.