Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Alisema IKULU ni Mahali patakatifu, hawa wanapageuza pango la wanyanganyi Hadi mtoto asiye na qualificatn yoyote anawakilisha IKULU.

Ndomana zimefutwa kumbe HOTUBA za Mwl Nyerere!!!
Miaka 60 ya uhuru tunasikiliza hutuba za Nyerere, tunahitaji kusikia vitu tofauti.
 
Nchi yeyote ile Mhe. Rais anatakiwa awe very clean(isiyobishaniwa) na yeyote lakini kwa hili kama ni mtoto wake heshima yake imepungua kwa kasi sana. Kwa nini ujiingize kwenye mambo ambayo unajua yatakuchafua?. Never on earth sijaona tukio la ajabu kama hili.
 
Yanamchafuaje?

Tangu lini ikawa kosa kwa mtoto wa Rais kuwa mfanyabiashara na muwekezaji nje ya nchi.
 
Miaka 60 ya kujitawala, nitajie kijiji/mtaa/kata/wilaya au mkoa mmoja tu uliojitosheleza kwa huduma zote za kijamii!
Vipo vingi sana.
Kwa kifupi nchi nzima saivi kuna hospitali zimejengwa na zinajengwa, barabara kila mkoa, shule za kutosha, huduma za kijamii zimeboreka sana tofauti na wakati tunapata uhuru
 
Yanamchafuaje?

Tangu lini ikawa kosa kwa mtoto wa Rais kuwa mfanyabiashara na muwekezaji nje ya nchi.
Juzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?

IKULU imekuwa ofisi ya familia tangu lini?
 
Kwani sa100 amewahi toa HOTUBA yoyote yenye kuonyesha Dira ya Taifa?
Hutuba za Nyerere ndio zimetufikisha hapa, ndio zimetulea Muungano na Mama Samia, je tuendelee kusikiliza au tuachane nazo?
 
Juzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?

IKULU imekuwa ofisi ya familia tangu lini?
Hilo swali kamuulize yeye katoa wapi mtaji. Sio unakuja kumsingizia mtu mambo ambayo huna ushahidi nayo
 
Hutuba za Nyerere ndio zimetufikisha hapa, ndio zimetulea Muungano na Mama Samia, je tuendelee kusikiliza au tuachane nazo?
Mnapata wapi ujasiri kufuta HOTUBA za Nyerere, Nia hiyo Si njema hata kidogo, Kuna jambo!!
 
Juzi alikuwa agent anauza matairi, deal za umeme mtaji kautoa wapi, na ni nani Hadi awakilishe IKULU?

IKULU imekuwa ofisi ya familia tangu lini?
Hivi kweli mtaji wa kuuza matairi ndio jambo la kujadili, miaka yote mama yake aliofanya kazi ashindwe kumpa mtaji mwanawe kweli. Tujadili vitu vya msingi jamani.
 
Uchawa gani?

Wewe ukiwa Rais inamaanisha mtoto wako hapaswi kujihusisha na jambo lolote?
Unahama sasa!
Sio jambo lolote, sema jambo la kitaifa!
Conflict of interest inahusika!

Tujuze shughuli na nyadhifa zake kabla ya mama'ake kuwa makamu, kisha raisi.

Halafu utujuze ukitaka kufanya biashara na maraisi wa nchi nyingine kama ulivyotanabaisha, TUFANYAJE na sisi?
 
Conflict of Interest kwenye nini?

Huyo ni mwekezaji yupo Uganda kuomba kibali cha mradi wake. Mradi wake umepewa kibali na Rais wa Uganda tena nchini Uganda.

Conflict of Interest ipo wapi? Au unazungumza tu maneno hujui maana yake?
 
Toa utaahila wako wewe,mtoto wa samia lini aliteuliwa kwenye hiyo nafasi?!, mbona mnakuwa chawa mpk mnakuw wapumbavu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…