Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Nina maswali machache.

1.Kwanini Rais Museveni mara zote anavaa shati jeupe?Kila tukio, kila mahala utaona kavaa shati jeupe.Ametengeneza ID yake au masharti ya waganga?

2.Mbona Rais Museveni anavaa minguo mikubwa mikubwa? Shati pana sana na suruali pana kama shuka la kutolea unga mashineni?
 
Ameenda kama mtoto wa rais au kiongozi serikalini?
Inapoandikwa kua ameongozana na ujumbe wa Tanzania na kujadili mambo ya umeme baina ya Uganda na Tanzania,inakua kama ziara binafsi ama ya kifamilia ama ya kiserikali?!!
 
Inapoandikwa kua ameongozana na ujumbe wa Tanzania na kujadili mambo ya umeme baina ya Uganda na Tanzania,inakua kama ziara binafsi ama ya kifamilia ama ya kiserikali?!!

Kama ameenda na ujumbe kujadili umeme kati ya TZ na UG basi itakuwa ya kiserikali ,sasa mbona kwenye picha yupo peke yake wajumbe wengine hawakutaka kupiga picha?
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Nenda kamuulize mwenyewe.
 
Nashauri awe rais wa kwanza tanzania wa kwanza kunyongwa kwa kutumia vibaya madaraka akiwa rais
 
Picha nimeiona na maelezo nimeyasoma lakini bado sijaelewa!

Labda katiba inasemaje? Mtoto wa Rais naye ni Rais?
 
Picha nimeiona na maelezo nimeyasoma lakini bado sijaelewa!

Labda katiba inasemaje? Mtoto wa Rais naye ni Rais?

Ndio maana tunauliza mtujuze,tunajua ndio kuna mtoto wa raisi kule Bungeni,kuna mkwe wa raisi bungeni na pia ni waziri wa Mali asili, je huyu nae ana cheo gani?!
 
Ndio maana tunauliza mtujuze,tunajua ndio kuna mtoto wa raisi kule Bungeni,kuna mkwe wa raisi bungeni na pia ni waziri wa Mali asili, je huyu nae ana cheo gani?!
Basi kama ni hivyo watakuwa wameenda kama kamati ya bunge, na ndio maana hawahangaiki hata kujibu huku watu wamevimba kama chura
Kweli mtu akikuchukia hata ukimchekea atasema unamzomea
 
Basi kama ni hivyo watakuwa wameenda kama kamati ya bunge, na ndio maana hawahangaiki hata kujibu huku watu wamevimba kama chura
Kweli mtu akikuchukia hata ukimchekea atasema unamzomea
Kamati ya bunge kivipi?!! Mtoto wa Samia ambae ni mbunge Ni wa kike,mtu alieoa mtoto mwingine wa Samia ni Mohamed Mchengerwa,wote hapo hawapo kwenye msafara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…