Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?

NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.

Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Inafikirisha sana hii.
Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg
 
Kabla ya urais wa mamaake alikuwa anajishughulisha na nini?
 
Baada ya Museveni kaguta Yoweri..
Rais wa Uganda kuanika huu ukweli...aibu imelegeza Mishima ya CCM?
Na hatimae kumrudisha Doctor Oysterbay kutoka Mbeya?
Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg
 
Baada ya Museveni kaguta Yoweri..
Rais wa Uganda kuanika huu ukweli...aibu imelegeza Mishima ya CCM?
Na hatimae kumrudisha Doctor Oysterbay kutoka Mbeya?View attachment 2720658
Abdu mai frendi habari za Cuba umerudi lini mai frendi, mimi siku ile tulipofunga chuo nikaondoka usiku huohuo nije kuwahi nafasi ya kazi lakini la kumbe mungu amehama huku ila niliambiwa nafasi ya kazi iliyopo ni yako tu! Haya mai frendi nakutakia kheri nawahi kwenda kuokota chupa ili mji uwe msafi ila nawe ukishakunywa maji itupe barabarani chupa yako itakuwa muendelezo wa ajira yangu.
 
Nadhani ameenda kama muwekezaji anayeomba kuwekeza mradi wa solar generation power plant huko northern Uganda eneo linaoitwa Nwoya district.

Kwa mujibu wa google huyu Abdul Halim amewahi kuwa muajiriwa wa serkali ya mapinduzi zanzibar kama System Administrator aki administer E- Government platform.

Ila kwa mujibu wa dots za mjini huyu yuko kule kwa wavaa kaunda suti siku nyingi kidogo na pia ni mjasiriamali kwenye malori na usafirishaji,

Nadhani hajavunja sheria yoyote ikiwa hata mimi kama nitatambulika TCCIA naweza kupata kibali cha wizara nikaenda kuwekeza zambia au malawi. Yaani kama vile mzee Anwar wa TRH aende kwa raisi Hichilema akitaka kuwekeza kwenye Logistics company Zambia.

Iwapo kama watu wanahoji wapi kapata investment capital benki duniani zinatoa mikopo haswa kwa wawekezaji.
 
Huyo ni mtoto wa Rais samia

Inasemekana yeye, rostam na makamba wanapanga kuuza umeme wa magufuli nchi jirani ila pesa zitaingia kwenye mifuko yao kwao kwani wamefungua kampuni hewe ya solar
Wabongo mshaunganisha dots. Kwamba kuna kampuni ya kisanii sio ya kugenerate solar baada ya kuona umeme wa gridi unaunganishwa ili waheshimiwa wajijazie mipesa kwenye account zao. What a narrative....
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?

NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.

Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Taarifa ya Rais Museveni imesema "delegation from Tanzania" yaani ujumbe kutoka Tanzania. Haikusema "delegation from the Tanzania government" ujumbe wa serikali ya Tanzania. Kama huyo kijana alikwenda Uganda akiongoza ujumbe wa wafanya biashara wenzake kuna ubaya gani?
 
Mookisbad98 umeeleza vizuri. Niwape mfano mwingine. Mwaka jana mwishoni Rostam Aziz alikwenda kuonana na Rais Ruto kuhusu kuwekeza mitambo ya gas huko Mombasa. Aliweza kufanya hivyo japo yeye si mtoto wa Rais. Acha dogo afanye biashara.
 
Mutukura 😃
Dogo amekwenda na wafanya biashara wenzake. Hakwenda na mtu yeyote kutoka serikalini. Ni kawaida kwa wafanya biashara na wawekezaji kukutana na marais wa nchi wanazotaka kuwekeza. Ndo sababu hara Rostam Aziz alikutana na Rais Ruto kuhusu kuwekeza mitambo ys gas huko Mombasa.
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?

NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.

Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Tuhakikishie kuwa huyo ndiyo mtoto wa mama Samia
 
Inaelekea ameenda kupiga deal zake za kampuni binafsi kuwekeza kwenye solar energy Uganda.

[emoji2958] Sitoshangaa kusikia kwa upande wa Tanzania hii miradi TANESCO inayoingia ya kununua umeme wa renewables kuna kampuni moja, yeye na mama yake ni wabia (kama sio wamiliki 100%).
Makamba kwenye hayo mambo ndiyo kwake
 
Museven amesema amekutana na Mr Abdul Halim Afidh na watu wake ,, sijaona popote imetajwa serikali ya Tanzania.

Huyo mtoto wa rais haruhusiwi kuwekeza Uganda au haruhusiwi kuwekeza Tanzania?

Yeye Hafidh amepata connection ya kukutana na Museven sababu Hafidh ni mtoto wa rais hata wewe kama Una hela za kutosha basi familia yako kukutana na Mo , Rostam haiwez kuwa na ugum.

Ndivyo ilivyo mkuu na ndio maana unaona mtoto wa Abood alimuoa mtoto wa Lukuvi ,,
Inawezekana Rais Samia alimuombea Hafidh hilo shavu la kiuwekezaji.

Hiyo ipo Duniani kote.
Alitaja mkuu
 
Wanatukumbusha Yale ya awamu ya pili ya Mama Siti na mzee wake kule Magogoni!!!
 
Hata kama mm lazima dogo nimlambishe asali, acha jealous
Ndio mana yake.mtoa mada utafikr yeye atakua hawap wanae shavu.alivo shupaza shingo. Tatiz sis bacvicha kila ajenda inayokuja na upepo hio tumo
Kikivuma hiki na sisi huko huko hekaheka vibwebwe
 
Back
Top Bottom