Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Hii nimeiona huko Twitter na nimebaki na mshangao mkubwa!
Picha hii hapa!

========

I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and Tanzania.

I also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop a solar generation plant of 20 Megawatts in Nwoya district, near Olwiyo substation. This electricity will be evacuated onto the main grid and there we shall no longer have issues of electricity in that area.
 
Kwaiyo huyo abduli ndiyo waziri wa nishati? Au anacheo gani wizara husika ??
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?

Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.

Wewe kama huna, huna tu.
Kusema "Wewe kama huna, huna tu" sio kauli ya thabit ya Kiislam. Ni kauli mbaya sana

Kuna watu wasio na chochote ila Mwenyezi Mungu huwapa

Acha dharau.
 
[emoji1], hiyo 2 nimecheka sana

Ova
 
Unazungumzia huyu au nani?

Kama ni huyo hapo basi ujue ana cheo Idara ya Usalama wa Taifa siku nyingi sana,na waliosoma.nae wanaelewa ni smart sana kichwani (kipanga) aliwakimbiza sana class
 
Africa ndivyo iiivyo..kawaida hiyo

Ova
 
Kusema "Wewe kama huna, huna tu" sio kauli ya thabit ya Kiislam. Ni kauli mbaya sana

Kuna watu wasio na chochote ila Mwenyezi Mungu huwapa

Acha dharau.
Narudia; kama huna, huna tu. Usitake kubadili mjadala.
 
Unazungumzia huyu au nani?View attachment 2720447

Kama ni huyo hapo basi ujue ana cheo Idara ya Usalama wa Taifa siku nyingi sana,na waliosoma.nae wanaelewa ni smart sana kichwani (kipanga) aliwakimbiza sana class
Idara ya usalama na biashara za umeme wspi na wapi?!! Vipi na zile lawama nyingine za biashara zake kariakoo??!
 
Idara ya usalama na biashara za umeme wspi na wapi?!! Vipi na zile lawama nyingine za biashara zake kariakoo??!
Na bado inasemekana yeye ndie kinara wa huu mradi wa DP-WORLD akimuwakilisha mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…