Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mosi, hii habari tayari Ipo humu.

Pili, nini cha ajabu hapo? Umaskini unafanya muwe na makasiriko ya rejareja bila sababu za msingi. Mtakua wachawi.
NJAA MBAYA Sana [emoji1787][emoji1787],,

Mtoa hoja anauliza kwamba ,,Huyo mtoto yupo hapo kama nani ?

Jibu hoja kama mzalendo na sio kujibu kama CHAWA.
 
Unatuletea Udini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…