Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Kaenda kuzungumza project gani ya nchi?

Kampuni yake inataka kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 hapo Uganda. Je iyo ni project ya nchi?

Wewe ukienda kuongea na Museven kuzalisha umeme Uganda hiyo ni project ya nchi?
 

President Museveni Meets Delegates From Tanzania, Discuss Cooperation In The Energy Sector​

By
August 11, 2023

Kampala, Uganda


President Yoweri Kaguta Museveni has today met a group of delegates from Tanzania at State House Entebbe.

During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.

President Museveni also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop the solar generation plant of 20 megawatts in Nwoya district near Olwiyo substation in Northern Uganda.


“There, we shall no longer have issues of electricity in that area,” he added. The delegates in attendance were Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir, Mr. Abdallah Khamis Khaliki, Mr. Michael Songore, Raphael Mjinja and Mr. George Nkya.

The meeting was also attended by the Minister of Energy and Mineral Development, Hon. Ruth Nankabirwa Ssentamu.

 
UWIVUUU NA UJINGA WATZ UTATUUWA..
HATA KAMA NI WEWE KWELI UWE MTOTO WA RAIS NA UNAAKILI ZAKO TIMAMU KWELI MIAKA KUMI HUNA HATA CONNECTION WALA BIASHARA YA MAANA UTAKUWA MJINGA WA MWISHO.
ABDUL NAKUTAFUTA KUNA JAMBO NATAKA NIKUNONG'ONEZE...!
 
Kwani wapi nimesema kuna chuki?
 
Msisitizo

" President Museven okayed proposal from the delegates to go ahead and develop the solar generation plant of 20 megawats in Nwoya District near Olwiyo substation in Northen Uganda"


Shida yenu ni kiingereza. Huyo Dogo ameenda kupeleka maombi ya kufanya mradi wake wa kuzalisha umeme wa jua megawati 20 huko Uganda.

Sasa shida iko wapi? Yeye ni mfanyabiashara na ameona fursa ya biashara ameitumia!

Acheni roho za kimaskini
 
Kama Ni yey Basi itakuwa anafundishwa dili za umeme na makamba Jr
 
Kaenda kuzungumza project gani ya nchi?

Kampuni yake inataka kuzalisha umeme wa Jua megawati 20 hapo Uganda. Je iyo ni project ya nchi?

Wewe ukienda kuongea na Museven kuzalisha umeme Uganda hiyo ni project ya nchi?
Duh! Hizi akili Zingine!
 
Ngoja waje!!!
Tushakuja! Ahahahahaha! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema, Rais anaweza kumteua mtu yoyote kufanya kazi kwa nafasi yoyote itakayoamriwa na Rais katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa hapo tatizo nini?
 
Uktooa nje ya nchi unaweza kuona aibu kujitambulisha kama mtanzania maan .tumeoneka kama taifa lisilowez kusimamia chochote kwa kwieli
 
Maza mishipa ya noma imekata kabisa kwenye ufisadi.
EEEEEEeenHeeeeeEEEEe!

Kamba yake ni ndefu kuliko zote, au siyo?

Nchi hii sikujua kuwa viongozi wetu wa juu wanatuangalia kwa dharau sana kiasi hiki!

Hivi kweli ndani ya CCM na huko serikalini hakuna hata mtu mmoja mwenye ubavu hata wa kunyoiosha kidole tu?
 
Dogo wanapozungumzia masuala ya nishati hususani umeme kutoka Mutukula hadi Mwanza...nini maana yake? Au Mwanza ni mali binafsi?
Acha akili mgando kwani
Area of Energy, power line kutoka Mutukula to Mwanza ipo chini ya wizara zipi kati ya serikali zipi? Is understanding english a big problem to you.
Kwani Tanzania hii umeme wote unaotumika unatoka TANESCO?

Kuna kampuni binafsi nyingi nchini zinazozalisha umeme. Labda Kwa kuwa mnakariri kuwa tukizungumzia umeme basi ni umeme wa maji
 
Nafikiri we have IQ tofauti, kukujibu ni kupoteza akili zangu!
Yani post inasema kabisa cooperation kati ya Ugander na Bongo na si cooperation kati ya Mu7 na Abd , kweli bongo inatia huruma kama watu wake ndio nyie. This is a clear fraud na sio kwa Maza but kwa huyo Abdul , he doesn't have the mandate to speak on behalf of waziri wa nishati Mh Maropu

Kuna mahali panavuja! Utafunika miaka yote kila siku balaa jipya! Bandari ileeee! Ishaenda!!
 
Kwa nini kampuni haikutajwa? Kawaida kama alienda kibiashara, kampuni na cheo vingetajwa. Hapo inatafsiriwa ni kati ya Serikali na Serikali. Alienda kiserikali kupitia mgongo wa mama yake. Hilo ni jambo la wazi na halina ubishi hata ujaribu kupindisha namna gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…