Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kuna Viti Maalumu na viti vya Upendeleo.

Huyo ni Viti vya Upendeleo.
 
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Onyesha hiyo michango uliyoitaja kaifanya wapi.
 
ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.

Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?
Ukisikia ufisadi ndiyo kama huo.
Anaibia umma.

Watu wenye uwezo wanaenguliwa kwa fitna za kizushi, wanachomekwa mbumbumbu kisa connection, kujuana...
 
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Nadhani kitu cha muhimu ni tija ya uwepo wake Mjengoni. Je tija hiyo imeonekana?
Isiwe ni kama wanafunzi wanao hudhuria vipindi then at last wana ambulia Div zero. Nimetoa mfano tuu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nchi ya kusadikika
 
Muungano unatu cost vibaya mno.

Nyerere na usomi wake aliingia mkataba anaofanywa na mtu illiterate.

The most stupid, the most imbecilic land contract in the global history of nation formation.

Kuna siku litakuja jana jeshi moja lenye uchungu na haya mambo litafuta huu upumbavu wa Muungano ndani ya dakika kumi na tano za kuingia Ikulu.
 
Kwani hao waliochangia wamelisaidia nn taifa hili?
Au ni hiyo michango ya sheria ya uchaguzi?
 
Hana mchango hata mmoja halafu hapo hapo ana mchango mmoja tu?.Kivipi? πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…