Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawqDuu labda Huwa anautoa Kwa maandishi.
By the way sikumbuki kama Mtoto wa Jakaya Huwa anatoa mchango Hadharani kabla ya kuwa Waziri
Kizimkazi festival iliandaliwa na yeye huo ndio mchango wakeTukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Mchango gani Wizara yenyewe inamshindasikumbuki kama Mtoto wa Jakaya Huwa anatoa mchango Hadharani kabla ya kuwa Waziri
Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.
Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.
Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?
View attachment 3257491
Inamshindaje?Mchango gani Wizara yenyewe inamshinda
Ongeza hana tofauti na Mwasi Kitokoanalipwa mshahara kwa kuwa kwake mbunge, na si kwa michango anayoitoa akiwa bungeni.
Na wanakunja parefu kuliko yeye anaeshinda akipiga nduru hapa JeiefuUnamuonea, wapo ambao hawajachangia hata hiyo mara moja
Vyote havina utofautiKuna Viti Maalumu na viti vya Upendeleo.
Huyo ni Viti vya Upendeleo.
Naongeza pia, kuwa mbunge unatakiwa ujuwe kusoma na kuandika tu inatosha, hayo ya madigrii ni nyongeza tu..!!Ongeza hana tofauti na Mwasi Kitoko
Onyesha hiyo michango uliyoitaja kaifanya wapi.Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk
Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko
Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
Ukisikia ufisadi ndiyo kama huo.ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.
Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?
Nadhani kitu cha muhimu ni tija ya uwepo wake Mjengoni. Je tija hiyo imeonekana?Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk
Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko
Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk
😆😆😆Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.
Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.
Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?
View attachment 3257491
Nchi ya kusadikikaWanabodi,

Mdogo wa Rais ni NW!??Familia moja mama rais, mtoto mbunge, mkwe waziri.
Nepotism.
Dah, kuna mtu nilifikiri nimemmiss.Mdogo wa Rais ni NW!??
Kwani hao waliochangia wamelisaidia nn taifa hili?Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango mmoja tu ambao aliutoa mwaka 2018 huko.
Maana yake huyu , according to tovuti ya bunge , ana miaka takriban 6 HAJACHANGIA CHOCHOTE BUNGENI. Ila kila mwezi bila shaka anapokea mshahara wa serikali.
Naomba kuuliza, mtu kama huyu kwanini bado yuko bungeni? Anafanya nini?
View attachment 3257491
Hana mchango hata mmoja halafu hapo hapo ana mchango mmoja tu?.Kivipi? 🤔Wanabodi,