Pre GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Michango ipo ya aina nyingi, kijamii, kiuchumi, nk

Pia yawezekana yupo katika kamati za bunge anaweza kutoa mchango huko

Pia kwa kuhudhuria mikutano ya bunge ili kuweka akidi Sawa ni moja ya mchango wake bungeni nk

Kwamba hawezi kutoa mchango bungeni kwa sababu anatoa michango kwenye kamati za bunge?

Kwa hiyo hao ambao wanatoaga michango yao kwenye vikao vya bunge wao ni wajinga? Kuna umuhimu gani sasa wa kuwa na vikao vya bunge?
 
ACHA wivuuu Nan kamwambia ukienda kule lazima ukapige kelele sio WOTE wanaongea vya maana Bora huyu anakata kimya Jimbo lake Lina MAENDELEO
Unalingine

Acheni wivuu

Hebu taja hayo maendeleo aliyoyapeleka huko jimboni kwake kwa sababu aliamua kukaa kimya bungeni kwa miaka 5
 
Wazazi wenu walikuwa wavivu wa kutafuta maisha wameishia kuzaa matoto mavivu na yenye roho mbaya!

Mteteee anayekulipa mkuu.

Haya matusi hayasaidii chochote.

Tuambie kwanini, mbunge wa chama chenu kwa miaka 5 hana mchango wowote kwenye vikao vya bunge?

Kwanini toka mwaka 2018 Wanu hajachangia chochote bungeni?

Mtetee bosi wako
 
Mtoa mada issue sio kuchangia Bali unachangia Nini na huo mchango wako unachukuliwaje? Na Kwa jinsi bunge lilivyo hata ukitoka mchango wenye manufaa Kwa taifa unadharauliwa sasa ya Nini kujihangaisha?

Kwa hiyo solution ya mbunge kutochukuliwa serious bungeni kwa michango anayotoa ni kukaa kimya kwa miaka 5?
 

Umetoka nje ya mada.

Sisi tunaongelea mchango wake kwenye VIKAO VYA BUNGE.

Hayo mambo ya mwanamke foundation hatuyajui. Huyu ni mbunge kwanini ndani ya miaka 5 hajachangia chochote?

Alikuwa anafanya nini?
 
Sasa huyu ndo maana halisi ya wafanyakazi hewa, sio lazima uwe mfu hata kama upo lakini kama haupo ni sawa na mfu tuu.
 
Eti Hon. Wanu Ameir Hafidh. Pumbafu zake. Mijitu kama hii ndio inaweza kuuza hata nchi. Anakula tu hela za umma bila uchungu. Anaona kwa kua mama yake ni rais ni hake yake apate tu hela za bure.
 
Mteteee anayekulipa mkuu.

Haya matusi hayasaidii chochote.

Tuambie kwanini, mbunge wa chama chenu kwa miaka 5 hana mchango wowote kwenye vikao vya bunge?

Kwanini toka mwaka 2018 Wanu hajachangia chochote bungeni?

Mtetee bosi wako
Kwani Sheria inasema anatakiwa kuchangia mara ngapi ili aonekane ni Mbunge halali? Nisaidie hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…