Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo. alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo. inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751

Mjulishe your mam!
 

Attachments

  • IMG_3390.jpeg
    186.9 KB · Views: 8
Mtumie your mam!
 
Mwambie mam apunguze safari ,wanawake wenzake wanaandamana Leo, wanadai maji.
 

Attachments

  • IMG-20240827-WA0007.jpg
    46.5 KB · Views: 8
  • 5807476-1ff68b6d15215a707098878e4bc0d8a7.mp4
    48.1 MB
Mbona yeye mama yake anatukana watu anasema mbwa
Bila shaka ni mbunge wa viti maalumu?? CCM hawaitaki hoja ya kufuta viti maalumu kwa mambo Kama haya,Mama Salma kikwete,na huyu nani sijui...nchi ya masela hi,Pepo ya Mabwege...
 
Mtumie your mam,ujumbe huu
 
11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

Mtumie your mam hii picha.

Assume your mam alikuwa ndani ya hili bus.
 

Attachments

  • FB_IMG_1725628824114.jpg
    185.1 KB · Views: 7

Mtumie mam
 
Mashallah...hv kwann wanawake wa kiislamu wengi wamejazia wazur hasa
 
Na bado hujaingia mahali ukakuta watu wamechakaa shauri ya mzazi wako...
 
Ili mama yako ndiye aje kugombea?
 
Aache kutumia smartphone kazi rahisi kabisa wala hatakutana na hayo matusi.
 
Watu wajifunze na wapewe nafasi wakosoe kwa heshima, Namkubali zitto kabwe,Mbowe, Mnyika n.k hawanaga lugha ya kuudhi kwenye kukosoa kwake ila mdude chadomo ni Balaa
 
Watu wajifunze na wapewe nafasi wakosoe kwa heshima, Namkubali zitto kabwe,Mbowe, Mnyika n.k hawanaga lugha ya kuudhi kwenye kukosoa kwake ila mdude chadomo ni Balaa
Bora anayetukana kuliko anayeua.
 
"Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…