PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu ni matako kabisa
 
Hivi hiki kitoto kimesha anza kukazwa???
 
Kuna wq
Kuna watoto rika lako wanakaa chini madarasani, wanakula mlo 1, wanaenda shule kwa miguu kilometre kwa kilometre, wazazi wao wameuawa, wametekwa, wengine kwa matatizo ya udogoni kwa hali walizopitia wamechanganyikiwa wengine wameuawa, nakadhalika, Hivyo basi Usitafute Laana!
 
..mtoto wa umri huo hapaswi kuachwa akatumia mitandao yenye lugha za matusi. Wazazi wawachunge watoto wao.
 
Huyu kwa umri wake sidhani hata kama amevunja ungo 😀😀, naona watu wanacomment na kutoa mapovu kwa mtoto anayepaswa kupigwa bakora tu
 
NO REFORM NO ELECTION!
 
Baba yake kalialia na kujipendekeza kwa huyo mama ndo kupewa hicho kikazi.
Mtoto badala aende shule kapewa ajira ya ushumbwanda tu abebwebebwe mpaka huko wapi sijui.
Na utakuta huyu babaake anasema mwanae atakua rais siku 1.
 
Hiki kitoto hakijui kitu...bado mdogo na akili yake ni sub average...
 
Watoto kuzungumzia siasa iwe illegal kama ilivyo katika imani nyingi za dini za ukweli mtoto haruhusiwi kubatizwa bali anabarikiwa tu kwani hii ni kumteka mtoto kabla hajawa na maamuzi ya kujitegemea mnamwingizia siasa, siasa waachiwe watu wazima tu.
 
Ona watoto wanavyoharibiwa! Huu ni unyanyasaji

Anaandaliwa kuwa gaidi
 
THE SYSTEM CREATES DICK SUCKERS AND DICK RIDERS
MPAKA SASA HIVI MTOTO MDOGO KAMA HUYO HAJUI HATA VIJIJI VI5 VYA IRINGA ILA AMEPEWA AONGELE JAMBO LA MSINGI JUU YA HII NCHI MACHAWA HAWANA FAIDA KAZI ZINACHUKULIWA NA WATOTO.
 
HUYO MTOTO HANA TENA UHURU WAKUFIKRIIA NJE YA MASLAHI YA CCM LAKINI TUNAJUA WAZAZI WAO NDIO WATUMWA NA VIBARAKA WA CCM
 
Aiseeee

Mazima mazima ndio nini tena? 😂
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…