PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
chama cha ccm jaribuni kuacha kujiabisha mkidhani mnajitafuta..! Hivi Ccm ilidhani itaishikilia Hii Nchi hadi Yesu akirudi? au?
 
Pumbavu sana hawajui kuwa kuna sheria inayozuia watoto kujihusisha na siasa.
Sana sana wana katengenezea F kibao shuleni
 
Ko dogo nae ni kijana ? Hawa ndio Interahamwe wenyewe sasa
 
TANZANIA inaruhusu watoto chini ya Miaka 18 kujihusisha na Siasa ila Sio Askofu wa Kanisa😅😅
 
Mimi sijawahi kuona ntu amemtukana kiongozi wa Nchi.Mfano.iumbafu,mjinga na mengine sasa haya matusi hayo ni yapi?
 

Masikini wee, nasikitika sana kwani haka naamini kwa CCM hii ya mashetani, katapoteza hata usichana wake kabla ya wakati.

Mama Dkt. Gwajima D , tafadhali ingilia kati watoto waachwe wawe watoto, hili la kuwaingiza kwenye ushetani uliopewa jina la "chipukizi" upigwe marufuku, mpaka atakapotimiza miaka 18.
 
Ushoga limekuwa janga. Madhara ya elimu huwa ni ya muda mrefu hasa ukiangalia huyu amesoma kipindi gani. Uelewa mdogo mno kiasi kwamba utashangaa huyu ni degree holder kama std 7
 
Kwakua watz tushaamua kuwa majinga acha tu tuendelee hv hv
 
Hako katoto ni ka fedhuri, kamefundishwa uchafu huo na babake tusikalaumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…