Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa.

Omar bin Laden

Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi kwenda popote.

Abdallah bin Laden
 
Sababu Al Qaeda ni kundi Lao? Jamaa aliewahifadhi Watu waliolipua 9/11 hajawahi kamatwa pale Usa, walikaa kwake wakalipua kila FBI Wakitaka kumkamata CIA wanaingilia, amekuja Kufariki juzi juzi hapa kauliwa na Houth.

Mwaka 2000 huyo Alielipua CIA walikua wanafahamu nyendo zake zote hadi anaingia Usa San Diego kakaa mwaka na nusu lakini report yake haijapelekwa FBI.

Soma zaidi hapa

Hao ni watu wao, wataishi kwa Raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…