Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

Sio ajabu Maana hata yasser arafat familia yake iko ufaransa... nawakat yeye anapambana kule na israel familia iko Europe.... na mkewe alifungua kesi kuwa mumewe aliuawa hadi mwili ulifukuliwa.. na ukapimwa ila viongoz wa Arab league wakawa waampinga kuhusu madai yake had viongoz wa palestina pia walikuwa hawatak ilibidi kwa kubanwa na Western wakubali kufukua mwili

viongoz wengi wa mashariki ya mbali pamoja na kuwa na msigano wa kisiasa na kiimani na watu wa western ila familia zao hazikai mashariki ya kati.. hazikai arabuni

Wengi wako europe
 
Back
Top Bottom