Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

je na wale wa death to america wanaokimbilia america nao ni watu wa cia ?
 
Wazungu hawana hiyana kama huna shida nao.
 
Osama si alitengenezwa na mashirika ya kijasusi ya magharibi so ni sahihi kizazi chake kithaminiwe zaidi na wana magharibi kuliko mtu mwingine yeyote
 
Unapanic nini au kumtafuna bi mkubwa wako unamuonea wivu? Ukiwa shoga na akili zinahamia nyuma nilishakuambia toka mwanzo mimi na mashoga mbalimbali bi mkubwa wako anatosha.
Mashoga wengi wako huko maeneo ya mwambao wa pwani kwenye dini ya haqi. Tanga, mombasa, Zbar nk
 
Osama si alitengenezwa na mashirika ya kijasusi ya magharibi so ni sahihi kizazi chake kithaminiwe zaidi na wana magharibi kuliko mtu mwingine yeyote
Osama hakutengenezwa na mashirika ya kijasusi ya magharibi, huo ni uongo mkubwa.
 
Wanatoka huko kwenye dini ya mnyaazi mungu
Teh teh teh.
katika muktadha huu, Baba Mtakatifu Francisko anasema shauku ya jinsia ya aina moja “Homosexuality” si kosa la jinai, bali ni hali ya kibinadamu; watu na jamii yenye mwelekeo huo wana haki zao msingi.
Lini na wewe unaenda kubatizwa?
 
Nani kakwambia mimi ni catholic?
 
Kichwa chako kinawaza mavi tu mda wote wewe ni inzi au Mende?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…