Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona


Chezea pombe wewe na kutokula vzuri
 
Hivi tunavyoongea ni miezi mingi sasa hata viongozi wake kumuona ni kwa barua maana amekuwa home hajaonekana kanisani.....

Anayemuona pekee ni Askofu wa Iringa.....


Tunaishi mbingu ya hapa hapa
Atakuwa ana shida gani mpaka asionekane muda mrefu hivyo?
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata wewe umekaza pumb* ukaachana na bababyako?

Kama baba yupo hai, kwa nini asimtafute?

Hataki kulelewa maana amesema alishalelewa naye bali anataka kuzungumza naye. Hofu yenu ni kuwa atadai mali
Hata akidai/akiomba mali ni haki yake! Mali zote hizo Kakobe ataenda nazo wapi?
 
Ni mtoto wa ndoa huyu kweli? Kama hakutaki unajipendekezea nini kiasi hicho. Kuwa muumini uhudhurie hizo Ibada zake, sidhani kama waumini wake inawabidi waandike barua kila wanapohudhuria hilo kanisa.
 
Ukistaajabu ya Mussah!............[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuh kweli mama mpare amekaza!! Ila mzee alitakiwa ampe jamaa chochote waachane kwa amani
Tatizo siyo kumpa chochote bali mtoto atambue kuwa kama baba huyu hamtaki amuoneshe bababyake halisi.

Kumbuka kuna binti naye kwenye video ameonekana hapo ni mwanae.

Mfalme Daudi hakuwahi kuwakataa wanae ambao wengine aliwapata kwa njia haramu. Hata yule mtoto kaka yake Mfalme Suleimani aliyepatikana kwa kumbaka mke wa askari wake Uria alifunga na kumuomba Mungu amponye kwa pigo la ugonjwa alioupata hadi kufa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…