Mtoto wangu amemeza shilingi 200

Mtoto wangu amemeza shilingi 200

Mpige ngumi mgongoni...
Km amemeza itatoka na haja kubwa km hajaimeza ukimbamiza mgongoni itaruka juu mdomonii
Watu kama wewe ndio huenda kucheza karata msibani wanacheka kabisa wanasahau msiba😅
FB_IMG_16736758667932741.jpg
 
Muwahishe hospital haraka,
200 ni kubwa sana, imepitaje shingoni uwiiiiiih.

Kuna mtoto wa jiran alimeza 50, alikua anakula vyakula laini ni ndizii tyuuh siku ya 2 jioni aliitoa kupitia haja kubwaa.

Duuuh poleeee sanaaaa.
 
Watu kama wewe ndio huenda kucheza karata msibani wanacheka kabisa wanasahau msiba😅
View attachment 2483982
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu sasa ndo nshawaza nkawazua. Km yuko kijijini kuitafuta hospital ni elfu 15 kwa basi?
Kituo cha afya mganga wa kijiji hawez kuamka saa hiz kwa nnavyomjua
 
Mpeleke hospital au jaribu dawa za kuharisha (sina uhakika na hio njia ya dawa ya kuharisha)
 
Mchunguze kama anatoa udenda... ikiwa hivyo it means imekwama kwenye koo la chakula ...

Mpeleke hospitali akafanyiwe kipimo cha x-rays kuona mahali hiyo sarafu ilipo ili kujihakikisha pia kuwa haiko kwenye njia ya hewa...

Kama itakuwa ishafika kwenye tumbo au utumbo basi jitahidi kufatilia choo chake kila anapoenda haja ili kuona kama imetoka

Kuna dogo aliwahi kumeza bunch of 3 keys... na akaitoa kwa njia ya haja baada ya 12hrs
 
Muchunguze kama anatoa udenda... ikiwa hivyo it means imekwama kwenye koo la chakula ...

Mpeleke hospitali akafanyiwe kipimo cha x-rays kuona mahali hiyo sarafu ilipo ili kujihakikisha pia kuwa haiko kwenye njia ya hewa...

Kama itakuwa ishafika kwenye tumbo au utumbo basi jitahidi kufatilia choo chake kila anapoenda haja ili kuona kama imetoka

Kuna dogo aliwahi kumeza bunch of 3 keys... na akaitoa kwa njia ya haja baada ya 12hrs
Kama ingekuwa imekwama kwenye koo la hewa sasa hivi angekuwa ameshampata majibu kwa kutokwa na udenda na asingeweza kula vizuri
 
Johan's Bag ipo wapi eti hapa Dar?

Nje ya mada,
 
Back
Top Bottom